Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Stories zako zimenichekesha[emoji3]
Nataka tukutane ili nikuchekeshe zaid my [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]ssta
 
Umenikumbusha mitumba ya sabasaba jamani. Nimepamiss moro
siku hizi sio kama kipindi kile,, siku hizi pale kikundi mambo ni motooo karibia na ile sheli ya BP hadi pembeni mwa lile kanisa, [emoji23] [emoji16]

na pale karibia CHAKECHAKE kwenye kiepe
 
Wewe tena mweeh huna break funguka tuenjoy maishaa kwan kuna nn?why

Ila mimi nina hako kamchezo aisee.

Na mara nyingi huwa nawakula kwanza, kama wanakulika lakini. Atakayekuwa mtamu atakulwa mara ya pili, tatu, au hata nne.

Asiye na ladha atakulwa mara moja tu halafu tunakuwa washikaji wa kawaida tu kama atataka.

Asipotaka, basi. Aende zake maana kuna wengine wanasubiri kukulwa na Myuesiei.

Hahahaaaaaaaa just playing.
 
Naenda kukogaaa baeee nitarud nakupenda jana leo kesho na milele
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee nilishachezaga sna hio michezo , kuna sku moja nilikutana na manzi flani fb

Yaani mtoto ana jina zuri balaa na picha anazopost fb utasema huyu girl anaweza kupata u miss world

Aisee mtoto nikapanga kuonana nae sku nimebanwa

Mara paap mtoto kaelewa yy anakaaa ilala boma mm natokea kkoo

Bas nikamuelekeza lodge moja ipo maeneo ya ilala afike hapo si mda nitawasili

Aisee nilipofika ugwadu wote uliyeyuka mtoto ana sura ngumu yaan daah hata kufatana nae nilijiskia aibuu

Nikiangalia mwonekano wangu na alivy ni zaid ya kujidhalilisha

Nilimpa nauli ya bajaji fasta sjui hata nilimdanganya vip nilisepa nilienda kuvuta pumzi juu kwa juu

Daah ile siku sisahau anisamehe bure bure kama yumo humu jf
 
Aiseee ulipata hasara ya nauli ya kurudia mkoani haya mambo yasikie tu kwa jirani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ha ha ha ha ha! uzuri hela aliyotuma ilinwezesha kurud mkoani pamoja na kununua nanasi za kutosha chalinze
 
Aisee nilishachezaga sna hio michezo , kuna sku moja nilikutana na manzi flani fb

Yaani mtoto ana jina zuri balaa na picha anazopost fb utasema huyu girl anaweza kupata u miss world

Aisee mtoto nikapanga kuonana nae sku nimebanwa

Mara paap mtoto kaelewa yy anakaaa ilala boma mm natokea kkoo

Bas nikamuelekeza lodge moja ipo maeneo ya ilala afike hapo si mda nitawasili

Aisee nilipofika ugwadu wote uliyeyuka mtoto ana sura ngumu yaan daah hata kufatana nae nilijiskia aibuu

Nikiangalia mwonekano wangu na alivy ni zaid ya kujidhalilisha

Nilimpa nauli ya bajaji fasta sjui hata nilimdanganya vip nilisepa nilienda kuvuta pumzi juu kwa juu

Daah ile siku sisahau anisamehe bure bure kama yumo humu jf
mkuu ongea ukweli uwe na ugwadu umuache,? mi naamini mwanaume ule mguu wa tatu ukisimama hata chizi akae mbele lazima [emoji123]
 
Back
Top Bottom