Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

pale karibu na islam bus zamani,

yaan wanazunguka kweli, wenyewe wadau wa mtumba wanajua ratiba zote, mana lile soko kubwa lishafungwa[emoji23]
wapo ktk ujenzi mpya wa kisasa [emoji23]
Oooh sikulijua hilo.
 
Sikuopoa mkuu,maana karibu kijiji kizima walikuwa ndugu zake na jamaa yangu si unajua zile familia za kanda ya ziwa,lkn pia alinikata stimu aliyenizimia simu na tulikaa huko kwa siku 5 na kurudi shule.
mwaka gani huo?
 
kuna ile matrix ya 6 by 6

nlikuwa mkali hayo manamba [emoji23] [emoji23]

ile pure ya adv niliikwepa haha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ipo 6 by 6 eeh. Matrix advance ilikua kati ya topic nilizokua nazionelea sana. Mi namba sijawahi na sitak mazoea nayo
 
Ila mimi nina hako kamchezo aisee.

Na mara nyingi huwa nawakula kwanza, kama wanakulika lakini. Atakayekuwa mtamu atakulwa mara ya pili, tatu, au hata nne.

Asiye na ladha atakulwa mara moja tu halafu tunakuwa washikaji wa kawaida tu kama atataka.

Asipotaka, basi. Aende zake maana kuna wengine wanasubiri kukulwa na Myuesiei.

Hahahaaaaaaaa just playing.
Hii ya kwako kibokooo angalia kuna Kupiga makenchiii rafikiii
 
Na wewe nataman sku tuonane nikukimbieeee maana siyo kwa mapengo hayooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha nikakumbuka jinsi nilivyokuwa namuuza mtu halafu unamchungulia anavyohangaika uwiii
 
Back
Top Bottom