Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Mimi kuna kasista flan nimezoeana naye Facebook. Siwezi sema ni mbaya ila siwezi tu kuwa naye. Kibsya zaidi ni mwanafunzi huwa najifanys kuongea nse mambo ya shule shule ili kumpoteza maboya lakini bado naona anajaa kwenye kilengeo.
Anakaa Mbagala imebdi nimwambie nakaa kibaha angalau kumkata maini asije tu lakin bado tu yumoo..
Nisipomtext two days wivu mwingi najaribu kumpelela kwenye mada za masom lakini wapi. Na nina tabia moja siwezi kumuignore mtu hata aweje ila siwezi tu kuruhusu hili jambo litokee.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poleee kwa majaribu
 
Back
Top Bottom