Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaogeleaje kwenye bwawa ambalo hata ng'ambo hupaoni? Acha tu!Ulitakiwa uogeleee tuu paka ng'ambo
Hahaha kwa hasira nilizokuwa nazo na nilivyomdhania nilimwondoa kwa nguvu.Hahaha Mimi Leo nasoma nacheka tuu.
Kwa hiyo haukula mzigo?
Una roho ngumu MTU humjui hafu unafanya naye aiseeKwanza love making hajui kabisa she wasn't romantic at all!
Unasukuma mkuyenge hata mguno hamnaa
What a wastage of manhood
Hahahah na wakati nilikuwa namjua tulikuwa tunapigiana video call.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mnaviziana kama pakaaa anataka kukamata panyaaaa
Shunie hahaha hiyo siku ningemkimbia angekufa maana alikuwa amepania sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja nyie wewe na mama p nimecheka sana
Wewe mwanaume wewe. Mita 200 hahahahahahAcha tuu. Alitaka kughairi... Ikabidi nisalim amri nijitokeze. Nkasema hapa nimeshaahindwa. Nkikutana na kitu kibaya tavumilia. Alivyo jitokeza tuu. Dah sikuamini kwanini nlikuwa nakaaa mita 200
Cc cute b@shunie kuna scenerio ngoja nianze kuzishusha kama ifuatavyo.
1. Kunakipindi tulikuwa tunasoma secondary. Sasa kuna jamaa yangu alikuwa na msichana wake shule fulani ya wasichana. Sasa sijui ilikuwaje kuna binti mwingine akaiiba namba ya jamaa yangu wakaanza kuchart nae. Kipindi kile hamna wasap hatumjui binti but alikuwa ana upendo saana katika zile chatting. Sasa siku ya graduu unajua mambo ya boys lazima wadada waje. Sasa walipokuja na yule dada akaja. Akawa amemletea rafiki yangu zawadi. Sasa ile coaster yao imeshuka tukawa tunachart nae kumuelekeza tulipo. Jamaa alipomuona bint kwa mbali ni mweusi na kwa mujibu wake anasema ni 'mbovu' jamaa akaacha simu akasepa. Ikabidi mimi niact kamaa ndio jamaa nkapokea zawad mule kulikuwa na singlend boxer na pafyuum. Kumbe msichana mwenyewe alikua hamjui jamaa alikuwa anahadithiwa tuu.
After there jamaa akadelete namba. Yule bint ikabidi nije nimueleze ukweli mimi sio huyo fulan. Baada ya kumaliza shule.
Yapili ilikuwa tena chuo, roommate alipata binti wa mbulu, katika chats na kuongea bint anasaut nzuri saana very romantic. Alikuwa nesi huko manyara. Sasa siku kapanda gari from arusha paka dar. Jamaa akasema twende tukampokeee ubungo tukamwambia hapana ashukie ubungo maji. Tumefika tukawa tumekaa pembeni. Bint alituelekeza amevaa nguo za rangi gani. Ile alivyoshuka tuu na mizigo yake jamaa kumuona kwa mbali akazima simu. Bint alikua anakitambi, flat yani sio mzuri.
Tukawa tunamwangalia jinsi anavyohangaika kupiga simu. Jamaa akasema tusepe. Bint alitukana saana dah
Yatatu,miaka kadhaa mingi nlijilipua kwenda mkoa fulani wa kaskazini. Kumfata my mama p. Sasa kwanza nlikuwa naogopa kuibiwa au kutapeliwa. Nlikuwaa nimejipanga kama nkikutana na kitu kibovu nalala zangu kesho nageuza.
Sasa stand nlifika usiku, nlimdanganya nimevaaa nini ili nkifika asinijue nianze kumjua yeye nimkague kwanza.
Kumbe nayeye ni janja mtoto wa mjini. Kanidanganya yupoje. Palikuwa patamu. Mimi nimejificha nakaa natafuta mtu. Kumbe nayeye kajificha kakaa anangalia mtu. Karibu dakika 40 tunasumbuana. Dah....
The rest is..... Thanks God paka leo
Hizi siyo chai kweli?Hahaha that day..
Palikuwa na mvua mvua. Hali ya hewa Fulani hivi nzuri.
Haujui tuu ile siku nilitumia masaa mangapi kuoga. Daah .
Baba p kiutani utani ananiambia B nakuja nipo njiani. Umepanda bus gani..? Akasema Dar express.
Nikajipulizia unyunyu hahahaaha nikawahi stend.
Nikakutana na mkaka mmoja my collage mate tukaanza kupiga stori za kubeti ananionyesha mikeka yake ilivyochanika.
Mara paaaaap ngoma hiyo... Watu wakaanza kushuka.
Nikamuona baba p wangu nilifurahi sana yani.
Tukaenda hotel moja ya kifahari sana. Siyo kwa kugegedwa kule nilitamani kukimbia.
Kesho yake tukaenda wapi kule baba p ? Tukapiga maphoto baadae tukaenda kucheki gemu ya man u na arsenal kama sikosei.
Duu umenikumbusha mbali jamani.
Jf idumu milele
Mimi huwaa naweka simu kwenye Kibumbuuuu huko aongeee nachoo au kwenyee kwapaaaaa kabisaaaJamani kuanzia Shati bwanga, suruali bwanga simu tulikuwa hatupokei. Yaani darasani tulikuwa tunaangaliana tunabaki kucheka tu yakaja kunikuta na mie mtu akakosea namba nikamwambia tafadhali, Ushindwe katika jina la Yesu.
Hahahaha baharia anaogelea tuu mzee ukiamaliza unaoga unachukua nguo unasepa. Anyway pole mkuuUtaogeleaje kwenye bwawa ambalo hata ng'ambo hupaoni? Acha tu!