usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Haa haa haa sinyorita huyuMamy baby nayeee hahahahah alivyokaa na saut yake sawaa kabisaaa
Cjui hata kwann yuko anavojiweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa haa sinyorita huyuMamy baby nayeee hahahahah alivyokaa na saut yake sawaa kabisaaa
Vipi mkuu. Na mshana jr ulishakutana nae live?Wasalaaam!
Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.
Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .
1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.
Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.
Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .
Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)
Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.
Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.
2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .
Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.
Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.
Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)
Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.
Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.
Mrs Jr chamdeko.
Part 2
3.Mkaka wa Huduma kwa wateja wa mtandao wa simu jina kapuni(Atl)
Nakumbuka ilikuwa ni midaa ya saa 3 usiku baada ya laini yangu ya simu kuzinguaaa nikaamua kutumia simu ya Rafiki yangu kupiga huduma kwa wateja.
Kiukweli sijisifiii Demiss nina saut nzur sana hata shemeji yenu anajua vile nikidekaaa.
Basi nikawa nimeongea shidaa yanguu kwa muhudumu yule wa kiume akanisaidia laini ikafunguliwa.
Ile mida ya saa sita usiku nikaona simu yangu inaitaaa nikapokea .
Yule mkaka akajitambulisha na kusema jinsi saut yangu ilivyomshawishi mpaka akaamua kuchukua namba yangu.
Baada ya hapo tukahamia whatsap kiukweli mkaka ni Smart handsome kama Ben paul.
Siku ya kukimbiana ikawadia!!!!!
Huyo mkaka alikuwa anakaa Ubungo sikumbuk vizur ni ubungo ipi lakin ina vichochoro siyo vya nchii hii yan nyumba zake zina ngazii mpka ufikie mlango walllah kama una pressure unaweza zimiaaa kabla hujafikia mlango wa geto.
Mtoto wa kike nikachukua Daladala kutoka Tegeta kwa ndevu mpaka Ubungo enzi hizo kuna kituo cha daladala pale kama Tanesco kabla ya kubomolewaaa.
Kiukweli mkaka alikuja kunipokea kimbembe kikaanza sasa tukapanda pikpik mpaka sehemu tukashuka tukaanza kuchanja milonjo kupandisha ngazi uwiiiiiiiih nilikomaaa .
Mwishoe tukafikia geto lakee akafungua mlangoo tukaingia chumba chake ni "Shaghalabagalaaa "
Kitanda katikati kimebonyeaaa na ndani kuna kitanda tu na manguo manguoo ameyaweka kwenye Boksi kubwaa sijui ni la kuwekea Laini za.simu kazini kwaooo.
Baada ya kubadilishana mawazo handsome akaanza kuleta mapozi ya kugegedana si unajua tena wanaumee hawacheleweshi.
Kiukweli hali ya hewa ya ile chumba ilinifanyaa nipoteze kabisa Hamu hata ya kugegedana nikafikiria mkaka Handsome smart anakaaa kwenye chumba cha shaghalabagalaaaa mweeeeeeh siwezi kwa kweli[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Baada ya kubebishana anakaribia kunigegeda nikamdanganya nimebanwaa mkojoo .
Nashukuru choo kilikuwa mtaa wa pili jaman akaniambia nendaa hapo ameshavua nguo amebaki na boksa tu mkuyengee ulikuwa tayar kwa Show kabambeeee!!!!!
Basi hapo ndo nilipopata nafasi ya kuanzaa mbio za Marathon mwenzenuuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nikashika simu yangu nikatokaaaa nayo nikarudisha mlangooo nikaanza kunyataaa polepoee kushuka zile ngaziii jamn ngazi ni nyingii utazan gorofaa kumbe wanakwepa mafurikooo.
Nilivyofika kwenye kauchochorooo nilitoka ndukiiii mpaka nikaenda kuparamia mlango wa watu kumbe nimesahau njiaaaa
Ikabid waniulize wewe dada vipi?
Huku natetemeka nikawambiaaa nilitaka kukabwaa ikabid wanielekeze njia nikachukua boda mpaka mwenge nikaenda kudandia gari za Tegeta na simu nikazima.
Kesho yake naamka kuangalia sm nakutana laini inasoma.
"NO SERVICE"
Nikasemaaa hahahha handsome kafanya kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huko nyumaaa sipati picha nilivyotukanwaaa Demiss miyeeeee.
Itaendeleaa keshoo.........vituko ni vingi.
Somo limeeleweka naona makofi mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hongera [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ni heri kuamua 1 kuliko kumtesa mtu muacha akapambane huko mbeleNiowe wap baada ya kuachana pale ikawa ndo mwisho wa mawasiliano mm nilichofanya nili play part yangu as gentleman ckutaka kuumiza hisia zake kujiona hana thaman duniani maana inapaswa kupenda na kupeana moyo ktk nyakat ngumu kama hizo
Mambo safi habari ya wewe!Mambooo
Hi MrThat is true
Tena had mwenyewe unafrahia
Aisee wewe hapana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna binti mwengine nilimpata usiku mmoja [emoji13] [emoji13] mzuri, kaumbika Mashallah, but kwenye 5 x 6 nilimfunua nimekuta ana dreads si dreads rasta si rasta, then hazieleweki kama ni rasta za bob marley au peter tosh, nilimkuta na vouz kama inchi tatu (3")[emoji13] [emoji13] [emoji13] nilitoka mbio nikamuacha guest, sijui kama alilala mpaka asubuhi au aliondoka usiku ule, sijui! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Ndiyo abiria wote manuka moshi wa kuniMnachochea kuniii moshi ukifukaaaa kitu kinaanza kutembeaaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ya rang hayaonekan vizur itakuwa gizaaa akiwa na meupe ndo utayaonaaa
Makubwa hongeraMm bado nimelala hapa maana jana nilichoka na majukumu ya kujenga kiwanda cha cherehan kuongeza mapato ya taifa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hi Mrs uhali gan my dearHi Mr
Mambow n moto kwakweliHahahaha Demiss umenikumbusha mbali sana,
Mdada mkaliiiii kanicheki site moja hivi niliangalia profile yake yupo njema, baada ya chatting za muda mrefu, siku hiyo akaja kunitafuta tena kwa surprise maana sina hili wala lile ananiambia nipo Victoria kituoni, nikasema poa ngoja nikamfate, uzuri niliamua kwenda mwenyewe ningemuelekeza home sijui ingekuaje walai, daah sikuamini nilichokiona Mungu anisamehe tu, mbaya zaidi wale dreva tax wananitania like nimeopoa sijui nini damn!!
Nikajua why alipendelea kupiga picha nusu huku ma filter kibaoooooo.
Nilimpandisha gari bila kutarajia nikamwambia nina kikao cha familia natakiwa kuhudhuria.
am sorry H.
Kha! We ni me au ke?Hahahaha Demiss umenikumbusha mbali sana,
Mdada mkaliiiii kanicheki site moja hivi niliangalia profile yake yupo njema, baada ya chatting za muda mrefu, siku hiyo akaja kunitafuta tena kwa surprise maana sina hili wala lile ananiambia nipo Victoria kituoni, nikasema poa ngoja nikamfate, uzuri niliamua kwenda mwenyewe ningemuelekeza home sijui ingekuaje walai, daah sikuamini nilichokiona Mungu anisamehe tu, mbaya zaidi wale dreva tax wananitania like nimeopoa sijui nini damn!!
Nikajua why alipendelea kupiga picha nusu huku ma filter kibaoooooo.
Nilimpandisha gari bila kutarajia nikamwambia nina kikao cha familia natakiwa kuhudhuria.
am sorry H.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatokaaa nduki unaacha moshiiii tuuu kama wa rocket
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nikifika geto nikikuta shagalabagala nitatokaaa ndukii hatareeee kama chopa za MarekaniNgoja nikakodshe mitambo ya
Purtin ile najua haiach ktu
Na nitakubeba juuu juu mpaka
Geto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nikifika geto nikikuta shagalabagala nitatokaaa ndukii hatareeee kama chopa za Marekani