Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Kupatwaaaaaa kwa mbioo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unatongoza mwanamke unakutana na shemale
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Embu twende lunch
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Embu twende lunch
Karibuuu ndo naanza kulaaaa
IMG_20180324_143615.jpg
 
Hii ilimtokea rafiki yangu wa karibu, kuna mkaka alikosea namba ndio ukawa mwanzo wa mawasiliano kipindi hicho tulikuwa kidato cha nne tukawa tunajisomea pamoja usiku yaani rafiki yangu alikuwa anaongea tu na simu usiku wote hana muda wa kusoma.
Yule kaka alikuwa anaishi moro siku hiyo akasema nakuja dom kuna mzigo naleta huko nataka tuonane maana hata mie nilikuwa naongea nae kwa simu ya rafiki yangu. Ilikuwa ijumaa tukawahi kurudi mwenzangu akajiandaa kwenda kumuona mgeni wake kurudi huko mwenzangu kabadilika yaani amekasirika anasema yaani toka nimezaliwa sijawahi kuonana na baba mwenye sura ngumu kama yule [emoji1] [emoji1] [emoji1].
Kesho yake alikuwa anarudi moro akamwambia kesho uje na shemeji nimuone(mie huyo) jamani kufika nje ya hiyo guest aliyofikia akampigia atoke nje tumefika alikuwa amevaa bonge la suruali la kitambaa na shati la mikono mirefu juu kofia.
Kwenye simu alikuwa na sauti nzuri hatari kuja kumuona nikabaki hoi.
Nilicheka njia nzima kama chizi hadi kufika nyumbani nacheka mwenyewe naulizwa unawehuka? Toka hapo yule baba akipiga simu utasikia hili nalo na matusi juu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utoto tabu sana mngejua utamu wa hayo mnayoita madude Mungu anawaona lkn
 
Nimewasoma ila kukimbia sio suluhu

Siwezi na sijawaji mkimbia mtu usiporidhika nae kuna njia nyingi za kujikataa sio kumkimbia kumbuka wote tumeumbwa sawa jamani
 
Nimewasoma ila kukimbia sio suluhu

Siwezi na sijawaji mkimbia mtu usiporidhika nae kuna njia nyingi za kujikataa sio kumkimbia kumbuka wote tumeumbwa sawa jamani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom