Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Mwenye jibu naomba msaada tutani. Je alifanya zikae condom tatu tatu alikua na maana kwa kawaida ni goli tatu tu ndio maximum??? Au???
Kwa afya bao tatu zatosha. Ila kiu ikizidi sio mbaya ukaongeza nyengine!
 
Kumi za wapi hizo Julius?

Za

931CCAC1-73CC-4239-9E2D-7B76266DB2C9.jpeg
 
Kwa sababu wanaume wana uwezo wa kupiga goli 3 kwa usiku mmoja au kwa muda fulan baada ya hapoo why hawawez tena kuendeleaaa na game
 
Amewafikiria wanaume wa Dar. Rijali wa Dar mwisho bao 3 tu na hapo kesho hawezi kwenda kazini. Analala kutwa nzima. Midume wa mikoani hununua paketi hizo 3 yaani ndomu 9 na anatumia zote. Kesho anashika jembe balaaaa!
Hahaha mkuu ngoja wanaume wa dar waje kukumwagia povu
 
Swali zuri tu
Kwanza huwa zinauzwa tatu katika packet na 6 na 12
Huko zipo za 3 kwenye packet ndio zinajulikana zaidi
Sababu kubwa ya kuwekwa tatu ni kuwa kwanza inaweza moja kuharibika au kuanguka na kuchafuka (kwa wanaojali afya zaidi)
Au kuivaa inside out
Kwa hiyo kuwekwa 3 nafikiri hiyo ndio sababu
Halafu ni bei poa kwa hiyo kuziweka zaidi ni sawa pia
 
Kwa sababu wanaume wana uwezo wa kupiga goli 3 kwa usiku mmoja au kwa muda fulan baada ya hapoo why hawawez tena kuendeleaaa na game
Wee mwenyewe huwezi kuhimili zaidi ya tatu..
 
Back
Top Bottom