Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu tupia kapicha mkuu tuzione
Kumi za wapi hizo Julius?Mbona zipo pakiti zenye ndomu tano hadi kumi!
Hizo zenye tatu ni za wapi?
Kwa afya bao tatu zatosha. Ila kiu ikizidi sio mbaya ukaongeza nyengine!Mwenye jibu naomba msaada tutani. Je alifanya zikae condom tatu tatu alikua na maana kwa kawaida ni goli tatu tu ndio maximum??? Au???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uje nazo nione
Hahaha mkuu ngoja wanaume wa dar waje kukumwagia povuAmewafikiria wanaume wa Dar. Rijali wa Dar mwisho bao 3 tu na hapo kesho hawezi kwenda kazini. Analala kutwa nzima. Midume wa mikoani hununua paketi hizo 3 yaani ndomu 9 na anatumia zote. Kesho anashika jembe balaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uje nazo nione
USA RIVER
Wee mwenyewe huwezi kuhimili zaidi ya tatu..Kwa sababu wanaume wana uwezo wa kupiga goli 3 kwa usiku mmoja au kwa muda fulan baada ya hapoo why hawawez tena kuendeleaaa na game