mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kuna siku nilijiuliza sana hili swali la idadi ya kondomu kuwekwa tatu tu ktk kila pakiti moja sikupata majibu, ilikuwa hivi;Hahhaah mbalizi
Nilikuwa safarini, nikalazimaika kulala njiani, jioni nikatafuta mwanamke wa kulala nae, kwenda dukani nikakuta imebakia pakiti moja tu ya kondomu na maduka mengine yameshafungwa.
Basi kule ndani mgegedoni tumeendelea na mgegedo weee kila mmoja akawa kakolea na mwenzie hadi kondomu zote zikaisha hamu ya kuendelea kugegedana bado ipo na tyr ilishakuwa usiku sana, tulihaha hadi yule mama akaona isiwe taabu akaziosha tukakesha hadi alfajiri