Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Unipm tuongee nini dear?Ulisema niku pm kwaresma ikiisha dear..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unipm tuongee nini dear?Ulisema niku pm kwaresma ikiisha dear..
Haamini wakunyumba kama mm modEti mods wenzie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za mtumbaKumi za wapi hizo Julius?
Hahahahaha. Mod wa wapi wakunyumba?Haamini wakunyumba kama mm mod
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Za mtumba
Jamani mzigua mm sijawahi pata piemu hata moja toka kwa warembo wa Jf.. Please nniondolee huo mkosi dear!Unipm tuongee nini dear?
Anhaaa. Watakutumia mwaya usijali. Ukiacha utoto mbona pm hata za salamu utapata.Jamani mzigua mm sijawahi pata piemu hata moja toka kwa warembo wa Jf.. Please nniondolee huo mkosi dear!
Sasa mm bado mtoto nitauachaje sasAnhaaa. Watakutumia mwaya usijali. Ukiacha utoto mbona pm hata za salamu utapata.
Kwahiyo wakunyumba na wewe unabisha mm sio mod jamaniHahahahaha. Mod wa wapi wakunyumba?
Uache tu kwa muda ukiwa huku si unajua sie humu wengi wahenga eeh. Sasa na wewe jiweke kama wahenga upate japo salamu. Tunaogopa kuja kukusalimia kesho utangaze umenibanduaSasa mm bado mtoto nitauachaje sas
Sawa madam modsssssssKwahiyo wakunyumba na wewe unabisha mm sio mod jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa madam modsssssss
Duuh, yani we kweli [emoji117]nyani mzunguKwani tatu mzuka ina nne mzuka
Haha mm siwez fanya ivo bibie kua na aman dearUache tu kwa muda ukiwa huku si unajua sie humu wengi wahenga eeh. Sasa na wewe jiweke kama wahenga upate japo salamu. Tunaogopa kuja kukusalimia kesho utangaze umenibandua
Haya nakutumia pm soonHaha mm siwez fanya ivo bibie kua na aman dear
Kiafya ni Tatu mzukaHizo za Daslam huku shamba tuna special order kutoka Nigeria ni ndefuuuu na panaaaa zipo Tano, na zinatumika usiku mmoja zote.
Haina mabega ile kitu..usiombe mtu akosee.Kanifurahisha atakua sio firauni hata ukimwachia doggie unakua na amani. [emoji16]