Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

Jamani mzigua mm sijawahi pata piemu hata moja toka kwa warembo wa Jf.. Please nniondolee huo mkosi dear!
Anhaaa. Watakutumia mwaya usijali. Ukiacha utoto mbona pm hata za salamu utapata.
 
Uache tu kwa muda ukiwa huku si unajua sie humu wengi wahenga eeh. Sasa na wewe jiweke kama wahenga upate japo salamu. Tunaogopa kuja kukusalimia kesho utangaze umenibandua
Haha mm siwez fanya ivo bibie kua na aman dear
 
Hizo za Daslam huku shamba tuna special order kutoka Nigeria ni ndefuuuu na panaaaa zipo Tano, na zinatumika usiku mmoja zote.
 
Back
Top Bottom