Hello!
Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya.
Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja.
Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata.
Je, kipi kianze kati ya ELIMU bure na AFYA bure?