Swali: Kati ya AFYA bure na ELIMU bure nini kinapaswa kutangulia?

Swali: Kati ya AFYA bure na ELIMU bure nini kinapaswa kutangulia?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello!

Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya.

Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja.

Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata.

Je, kipi kianze kati ya ELIMU bure na AFYA bure?
 
Kinachopaswa kutangulia ni pesa.
Mindset ya kupenda vya bure itatugharimu.
Hata kama tunalipa kodi lakini tusipende huduma za bure hazina ubora.
 
Kwahiyo nchi wanazotoa huduma za ELIMU bure elimu zao sio nzuri ukilinganisha na hii ya Kibongo ya kukariri aina za laboratory tools ambazo hutaziona tena mpaka siku utakapougua ukienda lab?

Tanzania bado sana kufikia hizo nchi.
Elimu bure ya Magu ilifika wapi?
Kama Elimu ambayo gharama zake kwa mwaka ni fixed bado imeelemea unategemea nini kwenye afya?
 
Back
Top Bottom