VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Kuna Katiba Inayopendekezwa. Imekwama. Fedha na muda wa nchi vimezama. Mchakato umekosa manukato. Rais yuko kimya.
Hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa Bunge la 11 haikuonesha nia ya wazi ya Rais katika kupatikana kwa Katiba mpya.
Rais Magufuli atambue kuwa Katiba ya sasa inampa kila aina ya mamlaka. Lakini,Katiba hiyo inawanyima wasaidizi wake na wananchi nafasi ya kufaidi madaraka,mamlaka na maisha yao kidemokrasia.
Nauliza tu,Rais Magufuli hataki wala haitaji Katiba mpya?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam