Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
hapo kwenye RED ndugu yangu unajua unachokiongea au unaropoka tu ili kujaza server za JF?????
Kwani MAgufuli alichaguliwa na wanachama au ni kamati ndiyo iliyomteua kuwa mgombea urais???
Lowasa pia aliteuliwa na kamati kuwa mgombea Urais. Kama ulikuwa hujui utaratibu wa kupata mgombea urais.
Unaposema kuwa "hakuchaguliwa na wanachama bali mtu mmoja" Hueleweki una maana gani, kwani mgombea anateuliwa na kisha kupigiwa kura na wanachama pamoja na wapenzi katika uchaguzi mkuu.
Sidhani kama unaelewa unachokiongea aua unaongea kwa mahaba ya chama tu!!!!!!.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hivi wewe umelipia server ya JF kiasi gani tangu umejiunga? wacha kelele kama Abunuwasi hilo Jambazi Sugu nalo ni la kuliongelea, nenda ukachunge nalo ng'ombe. Nilikwambia tangu alifu hiyo ndio kazi ambayo inaweza kumpatia kipato kisicho cha dhuluma kwa Watanzania.