Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,630
- 1,945
Ulisikia ameongelea swala la katiba wakati wa kampeni? Umesikia ilani ya chama inaongelea katiba mpya? Usiondoe watanzania kutoka kwenye mstari, kwasasa rais ame focus kwenye cost-cutting..baada ya hapo rais ata focus kwenye re-structuring na stategic re-alignment..baada ya hapo tutamalizia na kutengeneza tamaduni/culture ya maadili, uzalendo na uchapakazi...nadhani nimesomeka, "nguvu 5"
Mbona hatumii ilani ya chama chake? Hivi hujaona anatumia ilani ya Ukawa? Ukawa wanachekelea maana wana mtu anatekeleza ilani yao barabara kabisa. Kama una mtu anakubebea mzigo wako si unabaki ukifurahi? Magufuli ni Ukawa full, kumbuka MAGUFULI 4 CHANGE? hamkuelewa hata hii? Uliwahi kumsikia Magufuli akijinasibu kama MCCM? Think aloud mkuu.