VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Kuna Katiba Inayopendekezwa. Imekwama. Fedha na muda wa nchi vimezama. Mchakato umekosa manukato. Rais yuko kimya.
Hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa Bunge la 11 haikuonesha nia ya wazi ya Rais katika kupatikana kwa Katiba mpya.
Rais Magufuli atambue kuwa Katiba ya sasa inampa kila aina ya mamlaka. Lakini,Katiba hiyo inawanyima wasaidizi wake na wananchi nafasi ya kufaidi madaraka,mamlaka na maisha yao kidemokrasia.
Nauliza tu,Rais Magufuli hataki wala haitaji Katiba mpya?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Wewe mzee ni mnafiki sana.
Una uhakika swala la katiba hakugusia?
Tupa tupa huna lolote!!
Umejinasibu kwa muda mrefu kuwa mwana CCM, lakini tumekugundua kwamba ni mmoja wa wale wasioutakia mema uongozi wa JPM!!
Wewe Raisi hata mwezi haujaisha, unataka kila kitu hadi katiba mpya iwe imepatikana???
Kila Uzi wako hapa ni kutoa tu dosari kwa Magufuli!
Ni vyema uwe jasiri kama huyo Lowasa ujitangaze rasmi kwamba uko UKAWA na usiwe mnafiki!!!!
Kwa sasa ni Kazi TuKwa utendaji wa Magufuli katiba inaweza kusubiri mpaka 2020.
Utendaji wake unatosha sana.
Kuna wakati ulitangaza kuwa umeshaachana na CCM na kujiunga na UKAWA. Vipi tena unaendelea kujipendekeza? Wewe endelea kumkumbatia mzee wako anayejinyeaKwani alivyoviagiza vyote mwezi umepita? Kukosoa kwangu kunajenga sana. Fuatilia mkuu.
Mzee Tupatupa
Katiba mpya si matakwa ya wananchi. Wananchi wanahitaji kazi tu. by the way alilieleza bayana wakati wa ufunguzi wa bunge. Sijui wakati anaeleza ulikuwa umekumbatiwa ndo maana hukusikia wala kuona?
Kwa utendaji wa Magufuli katiba inaweza kusubiri mpaka 2020.
Utendaji wake unatosha sana.
Ulisikia ameongelea swala la katiba wakati wa kampeni? Umesikia ilani ya chama inaongelea katiba mpya? Usiondoe watanzania kutoka kwenye mstari, kwasasa rais ame focus kwenye cost-cutting..baada ya hapo rais ata focus kwenye re-structuring na stategic re-alignment..baada ya hapo tutamalizia na kutengeneza tamaduni/culture ya maadili, uzalendo na uchapakazi...nadhani nimesomeka, "nguvu 5"
Kwa jinsi magufuli anavyofanya kazi katiba mpya haina maana kwetu tunataka maendeleo magufuli atosha.
hapo ndipo mnapo fail wanaccm,matusi vinywani mwenu ndio msingiKuna wakati ulitangaza kuwa umeshaachana na CCM na kujiunga na UKAWA. Vipi tena unaendelea kujipendekeza? Wewe endelea kumkumbatia mzee wako anayejinyea