Swali kuhusu ajira mpya za afya

Swali kuhusu ajira mpya za afya

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
Hivi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
 
Ndiyo, inawezekana. Kuna watu wamepangiwa mikoa ambayo hawajafanyia oral interview hasa wale ambao mwajiri ni Wizara ya Afya.

Lakini naona kwa hawa wa Halmashauri ambazo ndizo zinazotoka kwa sasa wengi wamepangiwa kwenye Halmashauri za mkoa ambao walifanyia oral interview.
 
Sisi wa tamisemi ambao tulipelekwa arusha bila kupenda imekula kwetu
 
Kwa hali ya ajira ilivyo kijana, we hata ukipelekwa kinampundu nenda tu.....utaenda kuadjast mambo ukiwa huko huko.

Tofauti na hapo labda kama una michongo yako ya maana.
Namaanisha hata arusha pia nmekosa natamani nipangiwe tu popote kama itawezekana
 
Sikuomba arusha lkn nikapelekwa kwenye interview ya oral arusha na matokeo jina halipo
 
Namaanisha hata arusha pia nmekosa natamani nipangiwe tu popote kama itawezekana
Unaweza ukapangiwa kwingine, kuna watu wamefanyia oral interview Arusha lakini jana majina yametoka na wamepangiwa mikoa mingine.
 
Kwa hali ya ajira ilivyo kijana, we hata ukipelekwa kinampundu nenda tu.....utaenda kuadjast mambo ukiwa huko huko.

Tofauti na hapo labda kama una michongo yako ya maana.
unapajuaje kinampundu my sister ni mitaa ya kwetu huko mbona
 
Back
Top Bottom