mangosutu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 684
- 955
Point to note
Matilio (uranium) yalitotumika kutengenezea first atomic bomb yalitokea Congo katika jimbo la katanga (zamani likijulikana kama Shaba) kwenye mgodi wa Shikolobwe kipindi hicho Congo ikiwa chini ya mkoloni Belgium.
Belgium ndio waliowauzia USA uranium ambayo ilitokea Congo na kutengenezea nuclear bomb katika mji wa Manhattan nchini Marekani, kwa kifupi wamerekani walitumia madesa ya mwanasayansi mwenye asili ya poland aliyekuwa akihishi nchini ufaransa aliyejulikana kama Marie Curie ( mwanasayansi pekee aliyechukua Noble prize ya Kemia na fizikia, na ndiye mgunduzi wa element inayojulikana kama polanium ambayo imetokana na Uranium, aliipa jina hil kutoka ktk nchi aliyozaliwa ya Poland)
Japo baada ya ugunduzi huo mwanamama Marie Curie alijengewa maabara kubwa nchini ufaransa na kukusanyiwa Uranium kwa ajili ya utafiti, mwisho wa siku alifariki na baadae kugundulika kuwa alikufa kutokana na mionzi ya uranium (uranium radioactivity))
Mpaka sasa Dunia inatumia application ya Marie Curie ktk hospital x rays, sterilization, etc.
Mgodi wa Shinkolobwe ulifungwa lasmi mwaka 2004 kwa Belgium kumwaga zege kwenye lango kuu la kuingilia chini ya mgodi (main shaft).
Japo kwa sasa wachimbaji wadogo wadogo wanaendelea kuchimba na kuchenjua madini mengine pamoja na Uranium, Japo hakuna soko uru la uranium kama ilivyo Gold, je uranium hii inauzwa wapi kwa sasa? hakuna uwezekano wa uranium hii kudondokea ktk mikono isio salama?