IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
KwannInasikitisha sana wakuu
Ni app ipi mkuu ya AIUkiona mikono mibovu ujue AI.
Ndege Kama Huyo Akiingia Kwenye Bwawa La Wafuga SamakiHuyu alichora..😊
Akili mnembe ama akili bandia aka artificial intelligence (AI) kuna program maalum unaziambia unataka picha ya aina gani nazo zinakuchoreaView attachment 3089788 Je wanatumia program/ application gani ku create hizi pc wakuu??
Zinapatikanaje hizo au ni kwenye PC tu na sio simu mshana?Akili mnembe ama akili bandia aka artificial intelligence (AI) kuna program maalum unaziambia unataka picha ya aina gani nazo zinakuchorea