Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you bro. Kidogo niingie kwenye hiyo ndoa. Kuuumbeh.BMW ikishavuka miaka 10 mfano za kuanzia 2013 kurudi nyuma, vitu vingi sana vimechakaa vinahitajika kubadirishwa.
Mfano: Ukinunua leo BMW E90 3 Series ya 2007 mfano utahitaji badirisha vitu hivi:
Imagine running cost hiyo sio lazima ikukute ndani ya week ila ndani ya mwaka mmoja wa umiliki lazima atleast matatizo 3 kati ya ayo yakukute. Na kila siku litakuja jipya.
- Oil Tsh 250k
- ATF Tsh 600k
- Plug 300k
- Coils 720k
- Suspension stm yote atleast 1M
- Cooling stm yote atleast 1.5M
- Fluids zingine zote atleast 500k
- Na plastics zingine mfano actuator za vioo, locks za milango, etc ni za plastic zinakufa sana ikiwa zee sema haizidi 300k kwa mlango.
Inshort kununua BM Audi Benz used ni pata potea kama kubet. Unaweza nunua likakuendea poa na unaweza nunua ukalia machozi.
Mi nilikaa nayo miaka mitatu ila gharama za uendeshaji ndani ya iyo miaka ni mara 2 ya CIF nilionunua.
Nilibadirisha ATF mara 1, shocks zote 4, water pump mara 3 na thermostat mara 3, actuator 2, sample 1, cooling stm ililipuka, fluids zote, oil kama mara 5, plugs sita mara 2, coils mara 2 ya kwanza za kichina niliuziwa ikawa inamiss ya pili OG 180k each kumbuka zipo 6...
Bado kumbuka unapata 8km per litre...
Ayo madude ni expensive kurun aisee.
BMW ikishavuka miaka 10 mfano za kuanzia 2013 kurudi nyuma, vitu vingi sana vimechakaa vinahitajika kubadirishwa.
Mfano: Ukinunua leo BMW E90 3 Series ya 2007 mfano utahitaji badirisha vitu hivi:
Imagine running cost hiyo sio lazima ikukute ndani ya week ila ndani ya mwaka mmoja wa umiliki lazima atleast matatizo 3 kati ya ayo yakukute. Na kila siku litakuja jipya.
- Oil Tsh 250k
- ATF Tsh 600k
- Plug 300k
- Coils 720k
- Suspension stm yote atleast 1M
- Cooling stm yote atleast 1.5M
- Fluids zingine zote atleast 500k
- Na plastics zingine mfano actuator za vioo, locks za milango, etc ni za plastic zinakufa sana ikiwa zee sema haizidi 300k kwa mlango.
Inshort kununua BM Audi Benz used ni pata potea kama kubet. Unaweza nunua likakuendea poa na unaweza nunua ukalia machozi.
Mi nilikaa nayo miaka mitatu ila gharama za uendeshaji ndani ya iyo miaka ni mara 2 ya CIF nilionunua.
Nilibadirisha ATF mara 1, shocks zote 4, water pump mara 3 na thermostat mara 3, actuator 2, sample 1, cooling stm ililipuka, fluids zote, oil kama mara 5, plugs sita mara 2, coils mara 2 ya kwanza za kichina niliuziwa ikawa inamiss ya pili OG 180k each kumbuka zipo 6...
Bado kumbuka unapata 8km per litre...
Ayo madude ni expensive kurun aisee.
Mjapan. Nikarudi Home Toyota chombo cha usafiri cha kukutoa point A kwenda B.Asante sana
Baada ya BMW ulihamia wapi?
Acha nikomae na Grande MarkII GX110 Juzi nimenunua MSWAKI kutoka Dubai 1.5M maisha marahisi sana 😅😅😅BMW ikishavuka miaka 10 mfano za kuanzia 2013 kurudi nyuma, vitu vingi sana vimechakaa vinahitajika kubadirishwa.