pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
Kianzia siku ya 12- 16 toka siku ya kwanza ya hedhiMimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ?
24 hrs. So mnakutana leo, kesho mnapumzika (on alternate days).Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?[emoji41]
[emoji23] [emoji23]Ukikua utajua zinakooma pind ukiona chura ....na lazima wallet iwe safi otherwise mbegu zinakuwa zimeoza hta kipiga salut haziwez na zinatoka mwendo wa airtz sio mwendo wa emirates.
hahahahaaaaaaa anawaza kwa kutumia kichwa chenye jicho mojaKwa huo uandishi inaonekana akili tayari zimeshahamia chini
Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ?