Chukua pesa hio kunywa bia ...Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira
Inapotokea kweye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?
Asanteni kwa mtakaonijibu
...kama siku ngapi?Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
Vipi na mm wameniandkia ivy vipi ww ulikaa muda gan wakukuingizia ela zakoNaomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira
Inapotokea kweye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?
Asanteni kwa mtakaonijibu
Nilikaa kama wiki tuVipi na mm wameniandkia ivy vipi ww ulikaa muda gan wakukuingizia ela zako
Yeah kabisa..... nashukuru nilipata senti zangu nikanunua na kiwanja mana ya kesho hayajulikaniNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Mkuu ulipata mkwanja wote au?Yeah kabisa..... nashukuru nilipata senti zangu nikanunua na kiwanja mana ya kesho hayajulikani