Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

Askarimtu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
277
Reaction score
185
Habarini wataalamu

Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani.

Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi?

Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa watoto wengi.

Nawasilisha.
 
Bongo yanatumika kupima ujinga wa watanzania ili ccm ione kama bado itaendelea kuburuta mijinga kwa kipimo cha elimu ya watanzania
 
Back
Top Bottom