Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha biti , ki ukweli wanakiuza tena, sasa utawekaje zuio wakati wewe ndio umekiuka makubaliano?kwani kwenye mkataba vipengere vyote vipo, sasa, unaweza kukimbilia kufungua kesi kama kupoteza muda tu, lakini mwisho wa siki utashindwa tu.Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
Mimi naona huo ni mkwara tu.Hakuna cha biti , ki ukweli wanakiuza tena, sasa utawekaje zuio wakati wewe ndio umekiuka makubaliano?kwani kwenye mkataba vipengere vyote vipo, sasa, unaweza kukimbilia kufungua kesi kama kupoteza muda tu, lakini mwisho wa siki utashindwa tu.
Hoja ya mdau ilikuwa ni je ukishindwa kumalizia kiasi kilichobakia inakuwaje?hilo la kulima, au kuzungushia mabati ni jambo jingine kabisa, kwani mwenye kiwanja ndio ameamua kufanya hivyo kwa kuwa tayari ni mali yake, na hadaiwi.Mimi naona huo ni mkwara tu.
Vipo viwanja vimegeuzwa mashamba/bustani. Kwa miaka sasa wanalima mahindi wakati viwanja vinavyopaka nyumba zimekamilika. Viwanja vingine vimewekwa uzio wamabati kwa miaka kadhaa
Nunua kiwanja Dodoma jiji, alaf usifuate makubaliano ya kwenye mkataba uone kama ni mkwara tu au vipiMimi naona huo ni mkwara tu.
Vipo viwanja vimegeuzwa mashamba/bustani. Kwa miaka sasa wanalima mahindi wakati viwanja vinavyopaka nyumba zimekamilika. Viwanja vingine vimewekwa uzio wamabati kwa miaka kadhaa