mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili Msomi Arbert Msando, Mabele Marando Nk. Je, Kuwaclasify Mawakili Wasomi Inamaanisha Kuwa Kuna Mawakili/wanashelia Ambao Sio Wasomi? Kwani Kada Nyingine Za Kitaaluma Kama Dactari, Engeneer Hawajatunukiwa Hizi Mbwebwe Wanazopewa Mawakili/wanashelia?