Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,162
Reaction score
3,088
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili Msomi Arbert Msando, Mabele Marando Nk. Je, Kuwaclasify Mawakili Wasomi Inamaanisha Kuwa Kuna Mawakili/wanashelia Ambao Sio Wasomi? Kwani Kada Nyingine Za Kitaaluma Kama Dactari, Engeneer Hawajatunukiwa Hizi Mbwebwe Wanazopewa Mawakili/wanashelia?
 
there is a difference btn educated and learned all those who pursue law field are learned(wasomi) other field are just educated..but this is a general rule there are some exceptions
 
there is a difference btn educated and learned all those who pursue law field are learned(wasomi) other field are just educated..but this is a general rule there are some exceptions

If you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?
 
Ili uwe mwanasheria mzuri, inapaswa usome sana tena kila mara ili uwe updated.... kwa wengine, ukipata expirience na yale mafunzo baas, kwisha habari...
Pengine hiyo ndio sababu wanaitwa wasomi, sina hakika.
 
uwe mwanasheria mzuri, inapaswa usome sana tena kila mara ili uwe updated....Pengine hiyo ndio sababu wanaitwa wasomi, sina hakika.

nimegundua tatizo sio la wahaya,ni wanasheria wote wanapenda sifa za kijinga!
 
wanahaki ya kuitwa wasomi maana wao kazi yao pia ni kusoma kila mara kunasheria zinakuwa repealed na revised na pia kuna case mbalimbali zinatolewa hukumu na mambo mengi sana wanahitaji kusoma muda wote ilikuwa current.
 
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........
 
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........

Mkuu Nina Wasiwasi Na Uelewa Wako! Unashindwa Kutofautisha Hoja Na Swali? Hivi Unafikili Kila Anayeleta Bandiko Jf Ana Hitaji Ushindani? Mimi Nimeuliza Swali Na Nimepata Majibu, Wewe Unataka Unataka Tuanze Kubishana!
 
Hahaha... mkuu, tatizo umeuliza kwa watu wanaopenda kubishana...
 
Iko hivi, kuna tofauti kati ya wakili na mwanasheria.
Wakili anaweza akawa mwanasheria na vile vile mwanasheria anaweza kuwa wakili,
Mwanasheria anaweza asiwe wakili na inawezekana kabisa wakili asiwe mwanasheria.

Kiusahihi, mtu anaweza kuitwa wakili msomi na ni makosa ya kiuelewa kusema "mwanasheria msomi".

Wakili maana yake mtetezi, hata mtu wa darasa la saba anaruhusiwa kwenda kumtetea mtu mahakamani na anaweza kitwa wakili, ila sio wakili msomi, Mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani ataitwa wakili, wakili msomi.

I hope I have made myself clear.
 
Mkuu Nina Wasiwasi Na Uelewa Wako! Unashindwa Kutofautisha Hoja Na Swali? Hivi Unafikili Kila Anayeleta Bandiko Jf Ana Hitaji Ushindani? Mimi Nimeuliza Swali Na Nimepata Majibu, Wewe Unataka Unataka Tuanze Kubishana!

La le li lo lu
Ra re ri ro ru
 
If you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?

Hao Wanasheria waache ujinga learned educated wtf?
Kwani watu wa profession nyingine hawasomi? What a stupid thing to say especially kwa watu wanaojiita "wasomi"
 
Back
Top Bottom