mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
there is a difference btn educated and learned all those who pursue law field are learned(wasomi) other field are just educated..but this is a general rule there are some exceptions
uwe mwanasheria mzuri, inapaswa usome sana tena kila mara ili uwe updated....Pengine hiyo ndio sababu wanaitwa wasomi, sina hakika.
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........
Nini maana ya sifa za kijinga?nimegundua tatizo sio la wahaya,ni wanasheria wote wanapenda sifa za kijinga!
Mkuu Nina Wasiwasi Na Uelewa Wako! Unashindwa Kutofautisha Hoja Na Swali? Hivi Unafikili Kila Anayeleta Bandiko Jf Ana Hitaji Ushindani? Mimi Nimeuliza Swali Na Nimepata Majibu, Wewe Unataka Unataka Tuanze Kubishana!
Nini maana ya sifa za kijinga?
Zisizo na tija,zisizoongeza thamani,iwe au isiwe hazikuongezi zaidi kukulevya ktk kujiona bora zaidi ya kundi/watu flani.
Nini maana ya sifa za kijinga?
Mkuu Nina Wasiwasi Na Uelewa Wako! Unashindwa Kutofautisha Hoja Na Swali? Hivi Unafikili Kila Anayeleta Bandiko Jf Ana Hitaji Ushindani? Mimi Nimeuliza Swali Na Nimepata Majibu, Wewe Unataka Unataka Tuanze Kubishana!
Moja wapo ya kujiita mwanasheria msomi
If you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?