Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

Kwa mfano ipi sifa ambayo ni ya kijinga kwa wanasheria?

bila mfano sababu wana nafasi kubwa ktk HUKUMU kujiita 'mungu' aishie hapahapa duniani


Nature,mafilosofa walioeka misingi ya discipline zote,kizazi cha sasa na utashi wangu haujawahi kukaririwa popote kwamba sheria ipo juu ya profession nyinginezo
 

Unadhani wanaotoa HUKUMU ni wanasheria?
 

at least we kidogo nimekuelewa. Lakini what ever thd case,sababu ya kujiita hivyo mi naona kama ni majivuno tu! Mbona doctors hawajiiti dakta msomi,mwalimu hajiiti mwalimu msomi na kuna madakta na walimu wa mitaani?
 
Hahaha... mkuu, tatizo umeuliza kwa watu wanaopenda kubishana...

Hapana Huyu Atakuwa Katoka Jukwaa La Siasa, Lile Jukwaa Huwa Ninasoma Thread Alafu Naondoka Bila Kukoment, Maana Ukikoment Unatukanwa Ukipanic Unapigwa Ban.
 

Mkuu Nimekuelewa 100%, Asante Sana Kwa Maelezo Yako
 
Kwani hapa tunapishana? au upo kwa ajili ya kubishana mwanasheria msomi!

Naona umekazana kubisha wakati niliomba tu unijulishe hiyo maana... anyway, kitu gani kimekufanya uniite mwanasheria msomi?
 
at least we kidogo nimekuelewa. Lakini what ever thd case,sababu ya kujiita hivyo mi naona kama ni majivuno tu! Mbona doctors hawajiiti dakta msomi,mwalimu hajiiti mwalimu msomi na kuna madakta na walimu wa mitaani?

Na Hilo Pia Litazamwe!
 
Unadhani wanaotoa HUKUMU ni wanasheria?

Sijakuelewa unaposema 'nadhani ndio wanaotoa' wakati comment yangu uliyo quote nimesema 'wana nafasi kubwa ktk'

Werevu wa mwanasheria ni ku'twist alichosema mpinzani wako?
 
Sijakuelewa unaposema 'nadhani ndio wanaotoa' wakati comment yangu uliyo quote nimesema 'wana nafasi kubwa ktk'

Werevu wa mwanasheria ni ku'twist alichosema mpinzani wako?

Kuna kitu unachanganya ama mimi ninachanganya ila twaweza saidiana.
Sifa za kijinga, umetumia mfano halisi (according to you) kwenye hukumu kwa kuwa na nafasi kubwa pengine kwa kujiona kama miungu ya pili. (Thats not a big deal).
Swali langu lilikua, hao wanaojiona miungu ya pili ama kuwa na nafasi kubwa kama unavyosema, kwa wewe unavyojua, hao ni wanasheria?
 
If you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?
mkuu mbona unataka tuchoshane hapa wakati by looking your writing your among learned brother or law in making brother...na nakujua so acha izo nyani ngabu
 
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........

Leymans..???
 

Umepotosha watu vibaya sana.
Note: Si kila mtu humu ni layman wa Sheria.
 
Kusema nimepotosha watu bila kusema nimepotoshaje, haisaidii.
Tuambie usahihi ni upi.
My point was in Professional Ethics.
1. Kwanza ww umesoma Sheria..??
2. Pili is it true Mtu wa darasa la saba anaweza kwenda kumtetea mtu mahakamani..??
 
My point was in Professional Ethics.
1. Kwanza ww umesoma Sheria..??
2. Pili is it true Mtu wa darasa la saba anaweza kwenda kumtetea mtu mahakamani..??

thnx mkuu, tunahitaji majibu ya haya maswali pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…