Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
kwahiyo, maana ya "sifa za kijinga" ina maana ngapi?
Tafadhali naomba unijulishe.
Mwanasheria msomi inamaana hujui sifa za kijinga jinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo, maana ya "sifa za kijinga" ina maana ngapi?
Tafadhali naomba unijulishe.
Kwa mfano ipi sifa ambayo ni ya kijinga kwa wanasheria?
Mwanasheria msomi inamaana hujui sifa za kijinga jinga?
bila mfano sababu wana nafasi kubwa ktk HUKUMU kujiita 'mungu' aishie hapahapa duniani
Nature,mafilosofa walioeka misingi ya discipline zote,kizazi cha sasa na utashi wangu haujawahi kukaririwa popote kwamba sheria ipo juu ya profession nyinginezo
Iko hivi, kuna tofauti kati ya wakili na mwanasheria.
Wakili anaweza akawa mwanasheria na vile vile mwanasheria anaweza kuwa wakili,
Mwanasheria anaweza asiwe wakili na inawezekana kabisa wakili asiwe mwanasheria.
Kiusahihi, mtu anaweza kuitwa wakili msomi na ni makosa ya kiuelewa kusema "mwanasheria msomi".
Wakili maana yake mtetezi, hata mtu wa darasa la saba anaruhusiwa kwenda kumtetea mtu mahakamani na anaweza kitwa wakili, ila sio wakili msomi, Mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani ataitwa wakili, wakili msomi.
I hope I have made myself clear.
Inavyoonyesha, hujui unachobisha.
Hahaha... mkuu, tatizo umeuliza kwa watu wanaopenda kubishana...
Iko hivi, kuna tofauti kati ya wakili na mwanasheria.
Wakili anaweza akawa mwanasheria na vile vile mwanasheria anaweza kuwa wakili,
Mwanasheria anaweza asiwe wakili na inawezekana kabisa wakili asiwe mwanasheria.
Kiusahihi, mtu anaweza kuitwa wakili msomi na ni makosa ya kiuelewa kusema "mwanasheria msomi".
Wakili maana yake mtetezi, hata mtu wa darasa la saba anaruhusiwa kwenda kumtetea mtu mahakamani na anaweza kitwa wakili, ila sio wakili msomi, Mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani ataitwa wakili, wakili msomi.
I hope I have made myself clear.
Kwani hapa tunapishana? au upo kwa ajili ya kubishana mwanasheria msomi!
at least we kidogo nimekuelewa. Lakini what ever thd case,sababu ya kujiita hivyo mi naona kama ni majivuno tu! Mbona doctors hawajiiti dakta msomi,mwalimu hajiiti mwalimu msomi na kuna madakta na walimu wa mitaani?
Unadhani wanaotoa HUKUMU ni wanasheria?
Sijakuelewa unaposema 'nadhani ndio wanaotoa' wakati comment yangu uliyo quote nimesema 'wana nafasi kubwa ktk'
Werevu wa mwanasheria ni ku'twist alichosema mpinzani wako?
mkuu mbona unataka tuchoshane hapa wakati by looking your writing your among learned brother or law in making brother...na nakujua so acha izo nyani ngabuIf you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........
Iko hivi, kuna tofauti kati ya wakili na mwanasheria.
Wakili anaweza akawa mwanasheria na vile vile mwanasheria anaweza kuwa wakili,
Mwanasheria anaweza asiwe wakili na inawezekana kabisa wakili asiwe mwanasheria.
Kiusahihi, mtu anaweza kuitwa wakili msomi na ni makosa ya kiuelewa kusema "mwanasheria msomi".
Wakili maana yake mtetezi, hata mtu wa darasa la saba anaruhusiwa kwenda kumtetea mtu mahakamani na anaweza kitwa wakili, ila sio wakili msomi, Mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani ataitwa wakili, wakili msomi.
I hope I have made myself clear.
Kusema nimepotosha watu bila kusema nimepotoshaje, haisaidii.Umepotosha watu vibaya sana.
Note: Si kila mtu humu ni layman wa Sheria.
My point was in Professional Ethics.Kusema nimepotosha watu bila kusema nimepotoshaje, haisaidii.
Tuambie usahihi ni upi.
Umepotosha watu vibaya sana.
Note: Si kila mtu humu ni layman wa Sheria.
My point was in Professional Ethics.
1. Kwanza ww umesoma Sheria..??
2. Pili is it true Mtu wa darasa la saba anaweza kwenda kumtetea mtu mahakamani..??
Leymans..???