Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?


kujitetea na kutetewa ni vitu viwili tofauti,mtu anaweza kujitetea ila layman hawezi kumtetea mtu mahakamani hana uwezo huo.Na sio lazima kwa mtuhumiwa kuwakilishwa na wakili ila kwenye capital offences mshtakiwa lazima awakilishwe na wakili.
 
Daaah haya mambo yalikuwepo tangu kwenye vyuo...non-lawyers in the making ni haters mpaka leo wanaendeleza u-hater kitaaanii..
 
Daaah haya mambo yalikuwepo tangu kwenye vyuo...non-lawyers in the making ni haters mpaka leo wanaendeleza u-hater kitaaanii..

Zile vurugu za Mangwinyi na Engineering unazikumbuka..??? Zilitembezwa fimbo na mawe kisa utoto utoto tu... Kesho yake news nchi nzima.
 
naona watu wameshaanza matusi humu, yangu macho
 
Ili uwe mwanasheria mzuri, inapaswa usome sana tena kila mara ili uwe updated.... kwa wengine, ukipata expirience na yale mafunzo baas, kwisha habari...
Pengine hiyo ndio sababu wanaitwa wasomi, sina hakika.

kwahiyo ukiwa husomi mara kwa mara utakuwa umeondokewa na hiyo sifa??
 

mkuu hayo mamlaka ya mzee wako yapo kwa mujibu wa sheria ama kwa taratibu za wao kijijini wakizani ni sheria..maana ninakakesi kangu hapa natamani nimpate mzee kama inawezekana.
 
mkuu hayo mamlaka ya mzee wako yapo kwa mujibu wa sheria ama kwa taratibu za wao kijijini wakizani ni sheria..maana ninakakesi kangu hapa natamani nimpate mzee kama inawezekana.
Teh teh teh!!
Hiyo mara nyingi ilikuwa ni kwenye mahakama za mwanzo tu na mkuu mossad007 ametoa vifungu hapa aki argue kwamba mambo yamebadilika na hizo mahakama za mwanzo wanatakiwa kujitetea wenyewe bila wakili.
Kama ni kesi serious mkuu nakushauri tafuta wakili msomi.
 
Jamani a cha waiter hvyo hii field ma seat achana nayo.kazma usome Mara wa Mara na juelewa siyo kusoma km kasuku hivi hivi utakuwa kilaza.pia wanaposema mwanasheria "msomi" wanamaanisha learned ktk maana hyohyo ya lugha inayotumika kuwatambua wanasheria wazur.."learned Advocate odeyo" example etc
 

Duh.....!! Ndo umeandika nini na wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…