celex
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 200
- 35
Je, watu hawawezi kujitetea wenyewe mahakamani?
Manake kuna jurisdictions si lazima mtuhumiwa atetewe na wakili mahakamani. Mtuhumiwa ana uamuzi wa kutafuta wakili wake, ana uamuzi wa kukubali wakili wa kupewa na serikali, na pia ana umauzi wa kujitetea mwenyewe.
kujitetea na kutetewa ni vitu viwili tofauti,mtu anaweza kujitetea ila layman hawezi kumtetea mtu mahakamani hana uwezo huo.Na sio lazima kwa mtuhumiwa kuwakilishwa na wakili ila kwenye capital offences mshtakiwa lazima awakilishwe na wakili.