Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

Eti huyu naye lenedi hata kuhakiki alichoandika hataki! !!!!!
Mtafungisha watu na kuwatia hasara tu,umakini tu ni questionable! !!!!!!!!

Labda kuna wanaostahili ila sio wote asilani!!!!
 
Probably you are not competent in English language due to poor and weak reasons you are providing here.......do you think the statement that (all those who pursue law field are learned........(wasomi))is meaningful?.......There is no term in academic arena which honor a person that He/She is LEARNED but Honorary a person may be termed as EDUCATED
 
Haya sasa habri hiyoooooo!!!!!!

So hawa "lenedi" wanakuwa kundi gani mkuu? ???????
Just pompous??????!!!!!!
 
He's tap dancing all over the place like a chicken with its head cut off.

Huyu mossad kajidharirisha dadekii bora angebaki kwenye anachokijua tu. Ukitaka kuonyeshana umwamba na mtu inabidi ujipange bwana
 
Huyu mossad kajidharirisha dadekii bora angebaki kwenye anachokijua tu. Ukitaka kuonyeshana umwamba na mtu inabidi ujipange bwana

Thats yo word.. i guess cz hunifaham ungeniacha tu ukakaa pembeni.
 
Who is a LAWYER?
Is a person wth a mere law degree a LAWYER? or its only those in practice? How abt a magistrate, a legal officer/solicitor of an institution?
 
Haya sasa habri hiyoooooo!!!!!!

So hawa "lenedi" wanakuwa kundi gani mkuu? ???????
Just pompous??????!!!!!!

Hakuna mtu anayeweza kuitwa learned bali anaweza kuitwa educated......neno learned linatumika kounyesha masomo yaliyosomwa.......wasomi wanaitwa "EDUCATED",SCHOLARS au INTELLECTUAL so watu wasitupoteze na lugha zao za kuzingua
 
This makes sense mkuu josles
 
Last edited by a moderator:
My point was in Professional Ethics.
1. Kwanza ww umesoma Sheria..??
2. Pili is it true Mtu wa darasa la saba anaweza kwenda kumtetea mtu mahakamani..??

wewe unambishia nini KUNA WAKILI WA AINA MBILI,ALIYESOMEA NA AMBAYE AJASOMEA, Ambaye ajasomea anaweza kumsimamia mtu kesi hii inatokana kwamba labda ana experience ya aina fulan za kesi, kwa hyo wakili anaweza kuwa educated or by experience
 
Ooooonh hebu tutajie "law firm" ya mawakili by experience; na mihuri wanatumia hii ya wasomi au wana yao???!!!!!
Kwa hiyo unaweza kuwa na wakili Engineer, Accountant au Carpenter???!!!!!

Hebu funguka
 
hata siku moja usizungumze suala usilo lijua. hakuna wakil anae tokana na uzoefu,,,Hata ungekua na utambuzi mkubwa wa kisheria huwezi kuitwa wakili kama hauna shahada ya sheria toka chuo Kikuu kinacho tambulika kisheria na ukawa umefudhu kwa vigezo vinavyotakiwa. Mfano mtu aliyesoma sheria na akafukuzwa chuo mda mchache kabla ya kuhitim hawezi kuitwa mwanasheria wala wakili...hata kwa wasomi wa tasnia nyingine....Kama unaweza weka majina ya wanasheria unao wajua wanaotumia uzoefu na hawajasoma sheria
 
Ooooonh hebu tutajie "law firm" ya mawakili by experience; na mihuri wanatumia hii ya wasomi au wana yao???!!!!!
Kwa hiyo unaweza kuwa na wakili Engineer, Accountant au Carpenter???!!!!!

Hebu funguka

samaan nimevamia fani, nimejaribu kufananisha na kitu fulan, kozi nliyosoma kuna module ilikuwa inaitwa law of evidence, nikacompare section fulan ambayo inahusu utoaji wa ushaid au maexpert kuna profeshno,experienced nk, mfano profeshno ni daktar na experienced ni mzee ambaye ana uelewa wa kitu fulan kwa muda mrefu so , kuhusu muhur atatumia wa hao learned kwan kuna shda gan?
 
Usirudie kudesa......sawa?
 
Hakuna mtu anayeweza kuitwa learned bali anaweza kuitwa educated......neno learned linatumika kounyesha masomo yaliyosomwa.......wasomi wanaitwa "EDUCATED",SCHOLARS au INTELLECTUAL so watu wasitupoteze na lugha zao za kuzingua

Nadhan, huwez kuwa learned bila kuwa educated lakin unaweza kuwa educated bila kuwa leanerd, learned is practical from theories na education may be theoritically or practically au vyote kwa ujumla
 
Nadhan, huwez kuwa learned bila kuwa educated lakin unaweza kuwa educated bila kuwa leanerd, learned is practical from theories na education may be theoritically or practically au vyote kwa ujumla

Hiyo tofauti ya learned na educated wewe umeitoa wapi? Kwa nini unadhani hivyo? Au ni kwa uelewa wako tu ndo umeielewa hivyo? Kama kuna authority ya ulikoitoa tafadhali tuwekee hapa, kama hutajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…