Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

there is a difference btn educated and learned all those who pursue law field are learned(wasomi) other field are just educated..but this is a general rule there are some exceptions

..you sound like a lawyer, lawyers love exceptions.
 
Ofcourse I havent any deep knowledge about systems in the UK, including the legal system.

And to be honesty, I havent heard or read unproffessional people tempering with law matters in the UK. I can say its just a division of responsibilities, but both Barristers and Solicitors are lawyers(qualified in law). But the difference between them is that Solicitors are attorneys, means they can act in the place of their clients for legal purposes, e.g signing contracts and may conduct litigation.

Another thing EMT, which is very conspicuous, is that Solicitors are employers of Barristers and Barristers are forbiden to do anything without authorisation from Solicitors, but both are lawyers, In the fused system like ours, Barristers can just become Solicitors and vice versa, there is no serious distinction.

So you can your learned friends, not only Solicitors but also Barristers.

Duh! umeongea nini?
 
Mkuu yangu ni macho lakini kibaya zaidi, wanapiga kelele hapa Jf kutaka waonekane kama wapo juu ya uwezo kifikra na kimtazamo kulinganisha na fani zingine wakati maandishi yao yanaeleza uwezo wao.

Mkuu, wala sijakata tamaa bali tuko pamoja katika kupambanua hoja na maandishi ya hawa wanasheria/mawakili wetu.

Shukran mkuu ingawa tunaambiwa ni wivu na inferiority complex sababu hatuna "noble" professions!!!!!
 
"Wakili msomi" sounds as a vestigial phrase to me. I can't see the real meaning in it. Hiyo tofauti uliyoitoa ina-sound very artificial na wakati mwingine inafanya watu wengine wawaone mawakili kama watu ambao ni very arrogant, self-obsessed and out of touch with the real world.

Anyway, lets assume you are right. Hiyo distinction ina-apply tuu kwa nchi kama Tanzania zilizo na "fused" system au kwa nchi nyingine pia zilizo na "split" system?

Kwa mfano, Uingereza wana "split" system ambapo kuna mgawanyo wa kazi za kisheria kati ya aina mbili za wanasheria yaani barristers na solicitors.

Generally, barristers (ambao tunaweza kusema ndiyo advocates aka mawakili) ndiyo wanaoenda mahakamani kutetea watu.

Traditionally, solicitors wanakutana na mteja, wanachambua kesi yake, nyaraka, nk; wanawasiliana na upande mwingine wa kesi halafu baada ya hapo wana-instruct barrister kwenda mahakamani kumwakilisha mteja on their behalf.

Kesi ikifika mahakamani barrister ndiyo anakuwa mhusika mkuu, huku solicitor ikiishia kuchukua notes tuu, kuleta mafaili, nk.

Je, tukitumia definition yako kuwa "wakili msomi" ni mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani, tunaweza kusema kuwa solicitors siyo "mawakili wasomi"?

Kama siyo "mawakili wasomi" ni akina nani? Ninaweza kumwita solicitor "my learned friend" or just "my friend" or even a "non-learned" friend?

Kiukweli kabisa, nimefurahi kukuona hapa comrade. Najua unajua kwanini.

Naamini hujambo popote pale ulipo swahiba.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wakili msomi mossad007 naomba niongezee katika kumuelimisha ndugu yetu Mjuni Lwambo.
Kwanza kwa kupitia maelezo yake nimegundua ndugu Mjuni we ni layman yahani sio mwanasheria ila unafatilia fatilia mambo ya sheria either kwa kupita pita mahakamani au kwa kusikia stories za mahakamani kama sio movies...
Ndugu yangu Mjuni elewa kuwa mwanasheria sio kujua kuzisoma sheria mbali mbali bali ni kuzitafsiri..it's not a simple job brother...
Back to the topic..Wakili huyu ndugu Mjuni kashindwa kutofautisha Advocate in legal context na Legal /personal representative pia ameshindwa kuelewa kwamba sio kila anasima mahakamani anafanya shughuli za uwakilishi..
Na mpaka hivi sasa tunavyoongea primary court hawingii mawakili..kinachofanika kama wewe bwana Mjuni unanishtaki mimi Mbeky basi mimi na wewe tunaenda mbele ya hakimu nakujitetea na hakuna hatakae wakilishwa na wakili..kwa hiyo wewe kitendo cha kujitetea akikufanyi uitwe Wakili..
Swala la baba ako darasa la saba kuisimama mahakamani kwenye kesi za watu wengine inaweza kuwa ni:
1. kama alisimama kama shahidi
2. Kimakosa/kiujanja ujanja sababu ni kijijini watu hawajui sheria vizuri
3. Alisimama kama personal representative hila sio kwenye mashauri ya jinai bali ni mashauri ya madai na sio yote bali ni yale yanayomuhusu mtoto chini ya miaka 18 (kama next friend) au kwenye mashauri yanayohusu migogoro ya ardhi (lakini haya hayaendi primary court)
Sikutaka kuendelea kukuelezea tofauti ya mwanasheria na wakili maana wakili katoa maelezo ya kutosha plus authorities
My take ndugu yangu Mjuni mambo ya Sheria waachie wanasheria tu...

Na wewe ni mwanasheria au wakili msomi??
 
Kuna wanaJf wanajitambulisha kwenye hii thread kama wanasheria/mawakili lakini nikisoma comment zao zinanifanya mpaka nipatwe na mshangao, uwoga na kutetemeka kunakopelekea kupatwa na huzuni na simanzi!.

Gosh, kwa mtaji huu, sitashangaa kusikia au kuona kuna watu wengi sana wasio na uwezo kifedha wako gerezani bila kufanya makosa kwa sababu walitegemea wakili wa serikali, na pia kuna watu wengi sana wenye uwezo kifedha wako mitaani baada ya kushinda kesi kwa sababu ya ukosefu wa wanasheria makini serikalini.

Sishangai kuwepo na matatizo mengi ya kuingia kwenye mikataba ya hovyo hovyo.

Sishangai hata wale wanasheria/mawakili wanaojulikana Tanzania kama 'makini au wazuri' katika utendaji wao lakini ukiwaona makamani wanatafsiri sheria unagundua ni mawakili wa kawaida kabisa kulinganisha na nchi zingine.

Mwanasheria makini mara zote anajipambanua katika umakini kwenye maandishi na kutafsiri maandiko achilia mbali sheria. Wanaojiita wanasheria katika hii thread hawajaweza hata kuonyesha msingi wa mwanzo kabisa ambao ni umakini katika eneo la fani yao.

Hili ni janga kwa taifa!.

Mie thread yote, nimewasoma wanasheria wa ukweli watatu. Watatu tu baasi. Wengine nlowasoma wanaojifanya wanasheria ni vikojozisheria. Keimanina zao.
 
Teh teh teh!!
Hiyo mara nyingi ilikuwa ni kwenye mahakama za mwanzo tu na mkuu mossad007 ametoa vifungu hapa aki argue kwamba mambo yamebadilika na hizo mahakama za mwanzo wanatakiwa kujitetea wenyewe bila wakili.
Kama ni kesi serious mkuu nakushauri tafuta wakili msomi.

DAH!!
ndio nishamkosa mzee
 
Hiyo dialogue umeielewa iliyopelekea hilo swali??!!!!!
Umetofautisha "muhuri" na "muhuri husika" kwa muktadha wa wanasheria na "wanasheria wasomi"?????????

Anyway umetoa mwanga ila sasa matumizi ya mwanga huu na mahitaji ya "mwanga"vyaweza kinzana!!!!!!
Samahani lakini mkuu nawe pia ni "wakili msomi"?????!!!

Mkuu kwanza elewa hakuna mtu aneitwa mwanasheria msomi bali kuna wakili msomi au kaka/dada msomi na hili neno msomi linatumika kwa MAWAKILI TU (ADVOCATES /ATTORNEYS) either wa Serikali (state attorneys) au wakujitegemea (Advocates)..
Sasa tukija mantiki yako ya muhuri...kama nilivyosema awali ili kuwa kamishna wa viapo lazima kwanza huwe mwanasheria lakini sio kila mwanasheria anamiliki au ni kamishna wa viapo kuna category ya mwanasheria ndio wamepewa mamlaka hayo nikakutajia mahakimu pia mawakili wa Serikali na wa kujitegemea...
Kuhusu kama mimi ni wakili msomi au nani...samahani nisingependa kudisclose my personal information ila sio mbaya nami nikakuuliza swali je unawasiwasi na maelezo yangu..
 
Haya "wakili msomi muoga" nina wasiwasi sana tu na maelezo yako sababu swali la msingi ni "vigezo vya kupata muhuri na kuutumia" lakini wewe unanipa makundi yenye nguvu ya kuutumia muhuri bila ya kunipa vigezo vya wao kuutumia na wengine kuzuiwa!!!!!!!

Kwa mfano wanasheria wawili wamemaliza chuo mmoja kaajiriwa kama hakimu mwengine mwanasheria wa wizara sasa nini kinampa hakimu mamlaka ya kutumia muhuri wakati huyu mwingine ananyimwa na wote ni wahitimu wa fani hiyo kwa daraja sawa!!!!!???????

Sitaki kuamini kuwa sababu yupo mahamakani basi huyu ni reliable,trustworthy na sahihi zaid kuliko mwanasheria wa wizara!!!!!!!!

Nini vigezo vya kutumia muhuri husika????!!!!
 
Aaah..ok ndugu..mamlaka yeyote mtu upewa kwa mujibu..kwa kuwa natumia simu kukujibu give me a time kidogo nikukopie hiyo sheria husika iliyowapa mamlaka hao watu niliyokutajia..
 
Haya "wakili msomi muoga" nina wasiwasi sana tu na maelezo yako sababu swali la msingi ni "vigezo vya kupata muhuri na kuutumia" lakini wewe unanipa makundi yenye nguvu ya kuutumia muhuri bila ya kunipa vigezo vya wao kuutumia na wengine kuzuiwa!!!!!!!

Kwa mfano wanasheria wawili wamemaliza chuo mmoja kaajiriwa kama hakimu mwengine mwanasheria wa wizara sasa nini kinampa hakimu mamlaka ya kutumia muhuri wakati huyu mwingine ananyimwa na wote ni wahitimu wa fani hiyo kwa daraja sawa!!!!!???????

Sitaki kuamini kuwa sababu yupo mahamakani basi huyu ni reliable,trustworthy na sahihi zaid kuliko mwanasheria wa wizara!!!!!!!!

Nini vigezo vya kutumia muhuri husika????!!!!

Naona unatamani sana kuwa mwanasheria ila uwezo wa kiakili kama wa n'gombe
 
aisee nahitaj msaada kuna mtu hapo juu kasema "mwanasheria anaweza kuwa wakili, lakin si kila mwana sheria anaweza kuwa kamishina wa kiapo SWALI je kuna tofaut gan kat ya COMMISSIONER OF OUTH na EDUCATED ADVOCATE?
 
Haya "wakili msomi muoga" nina wasiwasi sana tu na maelezo yako sababu swali la msingi ni "vigezo vya kupata muhuri na kuutumia" lakini wewe unanipa makundi yenye nguvu ya kuutumia muhuri bila ya kunipa vigezo vya wao kuutumia na wengine kuzuiwa!!!!!!!

Kwa mfano wanasheria wawili wamemaliza chuo mmoja kaajiriwa kama hakimu mwengine mwanasheria wa wizara sasa nini kinampa hakimu mamlaka ya kutumia muhuri wakati huyu mwingine ananyimwa na wote ni wahitimu wa fani hiyo kwa daraja sawa!!!!!???????

Sitaki kuamini kuwa sababu yupo mahamakani basi huyu ni reliable,trustworthy na sahihi zaid kuliko mwanasheria wa wizara!!!!!!!!

Nini vigezo vya kutumia muhuri husika????!!!!

Ndugu kwa kua natumia simu afu inaniwa vigumu kukukopia sheria nzima basi ntakueleza sheria zima na vifungu basi bila shaka utaweza kuidownload na kuisoma..
Kabla ya yote ngoja nitoae ufafanuzi wa hoja yako ya wanasheria wawili mmoja kaajiriwa wizarani na mwingine hakimu inakuje kuhusu muhuri..
Swala la msingi kufahamu hapa ni hapo wizarani kaajiriwa Kama nani...elewa kuna wanasheria ambao wamefuzi kuwa mawakili lakini hawafanyi kazi za uwakili mahakamani badala yake wanafanya let's say administrative works kama wizarani na wanasifa Za uwakili kulingana na kifungu cha 3 cha Advocates Act..basi mtu huyu atakua na mamlaka ya kuwa na muhuri..
Sasa kutaka kujua kwanini Sheria imechagua kundi flani la wanasheria na kubagua wengine hilo sijui hila ntakueleza sheria inasemaje..
Sheria nayotaka ukaisome ili kupata ufahamu wa haya ni semayo ni THE NOTARIES PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR OATHS ACT Cap 12 ya mwaka 1928
Kifungu cha 3 kimemtaja Advocate pamoja na mtu anaefanya kazi kama kamishna wa viapo England, Scotland, Northern Ireland or Republic of Ireland
sheria hiyo hiyo kifungu cha 10 imetaja watu wengine wakiamo mahakimu, watumishi wa Serikali wenye sifa za uwakili, wasajiri wa mahakama za rufaa na kuu..etc
Lakini kwa bahati mbaya au nzuri sheria hajasema kwanini ni hao ndio wamepewa mamlaka hayo ya kuwa na mihuri na sio wanasheria wengine..
Jambo la msingi hapa kuelewa ni kwamba mmamlaka na mipaka ya mtu kiutendaji utokana na sheria na kama sheria imetamka wazi kuwa bata na kuku ndio wanahaki ya kufanya jambo flani huwezi kuoji kwanini haijamuinclude na njiwa au kanga maana nao ni ndege..
Sijui ndugu yangu unanipata vizuri...
 
Mkuu yangu ni macho lakini kibaya zaidi, wanapiga kelele hapa Jf kutaka waonekane kama wapo juu ya uwezo kifikra na kimtazamo kulinganisha na fani zingine wakati maandishi yao yanaeleza uwezo wao.

Mkuu, wala sijakata tamaa bali tuko pamoja katika kupambanua hoja na maandishi ya hawa wanasheria/mawakili wetu.

Malizia wasomi kama wapendavyo kuitwa.
 
Naona unatamani sana kuwa mwanasheria ila uwezo wa kiakili kama wa n'gombe

Ndio nini sasa? ??!!!!!
Acha wenye akili wafanye kazi hapa we soma upate elimu humu! !!!!!
Uwezo wa akili huonekana kwa hoja sasa we tangu mjadala umeanza hoja yako nini?????
Halafu watu wazima wakiwa na mazungumzo nenda hata unyoe makwapa tu kama huna adabu ya mazungumzo!!!!!
 
Back
Top Bottom