"Wakili msomi" sounds as a vestigial phrase to me. I can't see the real meaning in it. Hiyo tofauti uliyoitoa ina-sound very artificial na wakati mwingine inafanya watu wengine wawaone mawakili kama watu ambao ni very arrogant, self-obsessed and out of touch with the real world.
Anyway, lets assume you are right. Hiyo distinction ina-apply tuu kwa nchi kama Tanzania zilizo na "fused" system au kwa nchi nyingine pia zilizo na "split" system?
Kwa mfano, Uingereza wana "split" system ambapo kuna mgawanyo wa kazi za kisheria kati ya aina mbili za wanasheria yaani barristers na solicitors.
Generally, barristers (ambao tunaweza kusema ndiyo advocates aka mawakili) ndiyo wanaoenda mahakamani kutetea watu.
Traditionally, solicitors wanakutana na mteja, wanachambua kesi yake, nyaraka, nk; wanawasiliana na upande mwingine wa kesi halafu baada ya hapo wana-instruct barrister kwenda mahakamani kumwakilisha mteja on their behalf.
Kesi ikifika mahakamani barrister ndiyo anakuwa mhusika mkuu, huku solicitor ikiishia kuchukua notes tuu, kuleta mafaili, nk.
Je, tukitumia definition yako kuwa "wakili msomi" ni mtu aliyesomea sheria na akaenda kumtetea mtu mahakamani, tunaweza kusema kuwa solicitors siyo "mawakili wasomi"?
Kama siyo "mawakili wasomi" ni akina nani? Ninaweza kumwita solicitor "my learned friend" or just "my friend" or even a "non-learned" friend?