Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

there is a difference btn educated and learned all those who pursue law field are learned(wasomi) other field are just educated..but this is a general rule there are some exceptions

..you sound like a lawyer, lawyers love exceptions.
 

Duh! umeongea nini?
 

Shukran mkuu ingawa tunaambiwa ni wivu na inferiority complex sababu hatuna "noble" professions!!!!!
 

Kiukweli kabisa, nimefurahi kukuona hapa comrade. Najua unajua kwanini.

Naamini hujambo popote pale ulipo swahiba.
 
Reactions: EMT

Na wewe ni mwanasheria au wakili msomi??
 

Mie thread yote, nimewasoma wanasheria wa ukweli watatu. Watatu tu baasi. Wengine nlowasoma wanaojifanya wanasheria ni vikojozisheria. Keimanina zao.
 

DAH!!
ndio nishamkosa mzee
 

Mkuu kwanza elewa hakuna mtu aneitwa mwanasheria msomi bali kuna wakili msomi au kaka/dada msomi na hili neno msomi linatumika kwa MAWAKILI TU (ADVOCATES /ATTORNEYS) either wa Serikali (state attorneys) au wakujitegemea (Advocates)..
Sasa tukija mantiki yako ya muhuri...kama nilivyosema awali ili kuwa kamishna wa viapo lazima kwanza huwe mwanasheria lakini sio kila mwanasheria anamiliki au ni kamishna wa viapo kuna category ya mwanasheria ndio wamepewa mamlaka hayo nikakutajia mahakimu pia mawakili wa Serikali na wa kujitegemea...
Kuhusu kama mimi ni wakili msomi au nani...samahani nisingependa kudisclose my personal information ila sio mbaya nami nikakuuliza swali je unawasiwasi na maelezo yangu..
 


Haya "wakili msomi muoga" nina wasiwasi sana tu na maelezo yako sababu swali la msingi ni "vigezo vya kupata muhuri na kuutumia" lakini wewe unanipa makundi yenye nguvu ya kuutumia muhuri bila ya kunipa vigezo vya wao kuutumia na wengine kuzuiwa!!!!!!!

Kwa mfano wanasheria wawili wamemaliza chuo mmoja kaajiriwa kama hakimu mwengine mwanasheria wa wizara sasa nini kinampa hakimu mamlaka ya kutumia muhuri wakati huyu mwingine ananyimwa na wote ni wahitimu wa fani hiyo kwa daraja sawa!!!!!???????

Sitaki kuamini kuwa sababu yupo mahamakani basi huyu ni reliable,trustworthy na sahihi zaid kuliko mwanasheria wa wizara!!!!!!!!

Nini vigezo vya kutumia muhuri husika????!!!!
 

Aaah..ok ndugu..mamlaka yeyote mtu upewa kwa mujibu..kwa kuwa natumia simu kukujibu give me a time kidogo nikukopie hiyo sheria husika iliyowapa mamlaka hao watu niliyokutajia..
 

Naona unatamani sana kuwa mwanasheria ila uwezo wa kiakili kama wa n'gombe
 
aisee nahitaj msaada kuna mtu hapo juu kasema "mwanasheria anaweza kuwa wakili, lakin si kila mwana sheria anaweza kuwa kamishina wa kiapo SWALI je kuna tofaut gan kat ya COMMISSIONER OF OUTH na EDUCATED ADVOCATE?
 


Ndugu kwa kua natumia simu afu inaniwa vigumu kukukopia sheria nzima basi ntakueleza sheria zima na vifungu basi bila shaka utaweza kuidownload na kuisoma..
Kabla ya yote ngoja nitoae ufafanuzi wa hoja yako ya wanasheria wawili mmoja kaajiriwa wizarani na mwingine hakimu inakuje kuhusu muhuri..
Swala la msingi kufahamu hapa ni hapo wizarani kaajiriwa Kama nani...elewa kuna wanasheria ambao wamefuzi kuwa mawakili lakini hawafanyi kazi za uwakili mahakamani badala yake wanafanya let's say administrative works kama wizarani na wanasifa Za uwakili kulingana na kifungu cha 3 cha Advocates Act..basi mtu huyu atakua na mamlaka ya kuwa na muhuri..
Sasa kutaka kujua kwanini Sheria imechagua kundi flani la wanasheria na kubagua wengine hilo sijui hila ntakueleza sheria inasemaje..
Sheria nayotaka ukaisome ili kupata ufahamu wa haya ni semayo ni THE NOTARIES PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR OATHS ACT Cap 12 ya mwaka 1928
Kifungu cha 3 kimemtaja Advocate pamoja na mtu anaefanya kazi kama kamishna wa viapo England, Scotland, Northern Ireland or Republic of Ireland
sheria hiyo hiyo kifungu cha 10 imetaja watu wengine wakiamo mahakimu, watumishi wa Serikali wenye sifa za uwakili, wasajiri wa mahakama za rufaa na kuu..etc
Lakini kwa bahati mbaya au nzuri sheria hajasema kwanini ni hao ndio wamepewa mamlaka hayo ya kuwa na mihuri na sio wanasheria wengine..
Jambo la msingi hapa kuelewa ni kwamba mmamlaka na mipaka ya mtu kiutendaji utokana na sheria na kama sheria imetamka wazi kuwa bata na kuku ndio wanahaki ya kufanya jambo flani huwezi kuoji kwanini haijamuinclude na njiwa au kanga maana nao ni ndege..
Sijui ndugu yangu unanipata vizuri...
 

Malizia wasomi kama wapendavyo kuitwa.
 
Naona unatamani sana kuwa mwanasheria ila uwezo wa kiakili kama wa n'gombe

Ndio nini sasa? ??!!!!!
Acha wenye akili wafanye kazi hapa we soma upate elimu humu! !!!!!
Uwezo wa akili huonekana kwa hoja sasa we tangu mjadala umeanza hoja yako nini?????
Halafu watu wazima wakiwa na mazungumzo nenda hata unyoe makwapa tu kama huna adabu ya mazungumzo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…