Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?


1. Well,waweza kuwa mwanasheria mzuri mkuu Mbeky na.nashukuru sana kwa kujitoa kwako juu ya hili kwa kweli umefanya kwa kadiri ya uwezo wako saana!!!!!!

2 . Pia nashukuru kwa kuwa honest sana kuwa hujui jibu la swali lamsingi!!!!!

3. Suala la msingi kuelewa sio provision ila kwa nini hiyo provision iko hivyo; mimi fani yangu "underlying process/mechanism" ndio muhimu sana kiujua linapokuja suala la explanation as compared to description na sio yatokanayo!!!!!

4. Sasa maswali ya "WHAT" jibu ni muhuri; "HOW" umetoa condition za viapo na mikataba; "WHY" hao na si wengine ndio hujanijibu ili explanation yako itimie mkuu!!!!!

Ila nisiposhukuru so far ntakuwa mtovu wa ustaarabu
 
Last edited by a moderator:
Naamini generally haiwezekani.
Swali langu sidhani kama umenijibu mkuu

Sasa ukitaka uende sawa si inabidi usome kila mara?
Wanasheria wengi wako so proud na proffession zao....
Binafsi sijawai sikia Mwanasheria akijiita msomi ila nimesikia wakiitwa hivyo na watu wengine.
Sijui kitu kinachosababisha watu wa proffession zingine watoe mapov midomoni kwasababu Wanasheria wanaitwa ama kujiita wasomi. Sioni kosa lolote nikisikia mtu anajiita ama kuitwa hivyo, kwani mkitaka mwanasheria si mnapenda yule ambae yuko updated?
So kwa swali lako its YES.
 

Sasa hapo kwenye WHY ndipo linapokuja swala la tofauti kati ya sheria na field zingine...
Hili sheria yeyote iweze kufanya kazi au kifungu chochote kinachotoa mamlaka flani kiweze kuwa ndani ya sheria flani kuna michakato mbali mbali ambayo nilazima kupitia.
Kwanza uanza sera ambayo uandaliwa na wizara husika pamoja na wadau then uja mswada afu huo mswada upitabungeni na kisha kwa raisi kusainiawa then inakua sheria..GENERALLY kazi ya mwanasheria uanzia hapa inapokua imeshapitishwa na kuwa sheria kabla haijawa sheria hiyo sio sehemu yake..
Anayejua kwanini kifungu flani kimekua hivi au kimemtaja huyu na kumbagua flani ni MTUNGA SERA wa sheria husika pamoja na MBUNGE wako aliyeipitisha hiyo sheria..kazi ya mwanasheria (wakili) ni kutafsiri sheria na kuisaidia mahakama kutoa haki..
Ukianza kumuuliza mwanasheria kwanini flani kaiba kuku kafungwa afu flani kaisabibishia Serikali hasara ya mabilioni kapigwa faini utakua unamuonea tu..sababu sheria ndio inasema hivyo kwanini sheria inasema hivyo hiyo siyo kazi yake kujua labda aulizwe mbuge wako aliyetunga hiyo sheria
 
Last edited by a moderator:

Missing the point..... blame shifting
 
Ooops don't tell me I just missed your point again OLESAIDIMU

Nyie wanasheria na wanaojiita wanasheria wasomi mnatakiwa muwe na maelezo juu ya masuala kama haya ili sisi "pangu pakavu tia mchuzi" tujifunzie kwenu sasa ukiniambia sio juu yako au nakuonea kukuuliza eti sababu wewe hukuwa sehemu ya kutunga sera sasa huo usomi uko wapi kama huwezi kuulizia hata mazingira unayofanyia kazi na yahusianayo na job description yako????!!!!

Mtu akikuambia wewe "umekariri" tu na huwezi kutoka nje ya uliyokariri atakuwa ameharibu au kuchafua "usomi wako"?????!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu inawezekana mbinu nayotumia kukuelewesha imefail au mi ndio sijui kukuelewesha..mdau sio kwamba siwezi pata sababu hizo ila nimekujibu katika mtazamo wa kisheria..ila ukitaka tuijadili sera hapo tunatoka kwenye sheria tunaamia kwenye siasa na nisengependa twende huko..nakujibu kitu kulingana na sheria inavyosema...nilivyokuambia mchakato wa kutengeneza sheria unavyokua it's very obvious najua wapi pakupata hizo sababu..sasa mkuu tukianza kujadili sera hapa naona sasa tunatoka kwenye macho ya sheria..sijui unanielewa..
Na ninaweza kukupa sababu kulingana na mazoea na uzoefu wangu kwenye kazi zinazohusiana na sheria hila zitakua ni blah blah maana haziko supported na authority
Narudia tena sheria haijatoa sababu kwanini ni kundi hilo pekee ndio wamepewa mamlaka ya kuwa makamishna wa viapo na sio wanasheria wote..end of the story
Nje ya hapo ni mbwembwe tu mkuu au tutaanza majibu ya aina ya "kwa mtazamo wangu"....blah blah blah
 

For the last time ; kuna vigezo kwa mwanashera wakili (msomi) kupewa na kutumia muhuri husika??????!!!!!!
 
For the last time ; kuna vigezo kwa mwanashera wakili (msomi) kupewa na kutumia muhuri husika??????!!!!!!

NDIO na kigezo ni kimoja tu awe anafall under the list of people waliotajwa kwenye sheria ya makamishna wa viapo...
 
NDIO na kigezo ni kimoja tu awe anafall under the list of people waliotajwa kwenye sheria ya makamishna wa viapo...

"awe anafall under the list of people waliotajwa kwenye sheria ya makamishna wa viapo"

Waliotajwa kwa majina au sifa za "kisomi"!!!????
Kama sifa ni zipi???!!!
 
"awe anafall under the list of people waliotajwa kwenye sheria ya makamishna wa viapo"

Waliotajwa kwa majina au sifa za "kisomi"!!!????
Kama sifa ni zipi???!!!

Kaka sheria haijataja jina la mtu hila imetaja category ya wanasheri pamoja na maofisa wa Serikali wa baadhi ya ofisi..
Mawakili
Mahakimu
Wasajiri wa mahakama kuu au mahakama ya rufaa
Watu ambao hawafanyi za uwakili lakini wamesajiliwa kama mawakili
N.k n.k n.k
Ebu downloa na kuisoma hiyo sheria niliyokupa wala sio kubwa sana na huna haja ya kuisoma yote soma section 3 na section 10...afu kama bado hujaelewa utasema ni wapi panautata..
 


Ok mkuu one for the road!!!!!

Hizo category tajwa zina qualifications gani/ sio ajira zao please???
 
Ok mkuu one for the road!!!!!

Hizo category tajwa zina qualifications gani/ sio ajira zao please???

Kila category ina qualifications zake kulingana na matakwa ya ofisi au kazi husika mfano kuwa wakili inajulikana lazima huwe na shahada ya kwanza au zaidi ya sheria then ufanye mitihani ya uwakili "bar exams "(utaratibu wa zamani) siku hizi lazima usome law school na ufahuru mitihani afu ndio utume maombi yako ya uwakili kwa Jaji mkuu.
Wakati qualifications za kuwa hakimu ni ukishakuwa na shahada ya sheria unaomba kazi na zamani mahakimu wa mahakama za mwanzo na mkoa diploma tu ya sheria ilikua inatosha kukupa kazi..
Na hao wengine mfano wasijili wa mahakama kuu kuna vigezo vyao vya kupata kazi..
Vigezo vya wewe kupata kazi haviingiliani kabisa na umiliki wako wa muhuri..
Kwa mfano kiapo cha mbele ya hakimu wa mahakama mwanzo mwenye diploma ya sheria kina uhalali sawa kabisa na kiapo kilichofanyika mbele ya professor Luoga (senior Advocate)..

Uliposema sio Ajira zao please..??
Nimeshindwa elewa unamanisha nini..hila mamlaka ya ofisi yako ndio yanakupa uhalali ya kumiliki muhuri..mfano huyo hakimu akistaafu kazi yake ya uhakimu anakosa uhalali wa kisheria kuadminister viapo (kukugongea muhuri kama ilivyozoeleka) yahani cheo chake kama hakimu ndio kinampa uhalali wa kumiliki muhuri (kuadminister viapo ndio neno linalofaa)
 


Hii ndio maneno ya kisomi sasa mkuu Mbeky! !!!!!!

Hapa sasa nimekusoma,thanx!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo anayepinga mawakili kuitwa wasomi, yeye alishawahi kuitwa au kuita msomi akona matokeo yake? Na je kama yy hayuko katika legal fraternity, hiyo ina muuma nn?
Ebu nimuulize, kuna shida mama kumuita baba darling?
 
Huyo anayepinga mawakili kuitwa wasomi, yeye alishawahi kuitwa au kuita msomi akona matokeo yake? Na je kama yy hayuko katika legal fraternity, hiyo ina muuma nn?
Ebu nimuulize, kuna shida mama kumuita baba darling?

Nimecheka sana sentensi yako ya mwisho..
 
Shalom wanaUKAWA wenzangu..

Wakuu tangu miaka mingi kumekuwa na hii tabia/dhana ya wanasheria kujiita "learned brothers", Mfano hata vyuoni tena hasa kwa hawa BRN wanaosomea taaluma hii ndio wamekuwa vinara wa kujiita "Learned brothers" as if wao pekee ndio wasomi na kuregard kada nyingine za kitaaluma kama sio wasomi,

My take:
Dhana hii ya kujiita Learned brothers ina ukweli wowote, pia nini chimbuko lake?

Cc BLACK MARXIST ODILI SAMALU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…