OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Ndugu kwa kua natumia simu afu inaniwa vigumu kukukopia sheria nzima basi ntakueleza sheria zima na vifungu basi bila shaka utaweza kuidownload na kuisoma..
Kabla ya yote ngoja nitoae ufafanuzi wa hoja yako ya wanasheria wawili mmoja kaajiriwa wizarani na mwingine hakimu inakuje kuhusu muhuri..
Swala la msingi kufahamu hapa ni hapo wizarani kaajiriwa Kama nani...elewa kuna wanasheria ambao wamefuzi kuwa mawakili lakini hawafanyi kazi za uwakili mahakamani badala yake wanafanya let's say administrative works kama wizarani na wanasifa Za uwakili kulingana na kifungu cha 3 cha Advocates Act..basi mtu huyu atakua na mamlaka ya kuwa na muhuri..
Sasa kutaka kujua kwanini Sheria imechagua kundi flani la wanasheria na kubagua wengine hilo sijui hila ntakueleza sheria inasemaje..
Sheria nayotaka ukaisome ili kupata ufahamu wa haya ni semayo ni THE NOTARIES PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR OATHS ACT Cap 12 ya mwaka 1928
Kifungu cha 3 kimemtaja Advocate pamoja na mtu anaefanya kazi kama kamishna wa viapo England, Scotland, Northern Ireland or Republic of Ireland
sheria hiyo hiyo kifungu cha 10 imetaja watu wengine wakiamo mahakimu, watumishi wa Serikali wenye sifa za uwakili, wasajiri wa mahakama za rufaa na kuu..etc
Lakini kwa bahati mbaya au nzuri sheria hajasema kwanini ni hao ndio wamepewa mamlaka hayo ya kuwa na mihuri na sio wanasheria wengine..
Jambo la msingi hapa kuelewa ni kwamba mmamlaka na mipaka ya mtu kiutendaji utokana na sheria na kama sheria imetamka wazi kuwa bata na kuku ndio wanahaki ya kufanya jambo flani huwezi kuoji kwanini haijamuinclude na njiwa au kanga maana nao ni ndege..
Sijui ndugu yangu unanipata vizuri...
1. Well,waweza kuwa mwanasheria mzuri mkuu Mbeky na.nashukuru sana kwa kujitoa kwako juu ya hili kwa kweli umefanya kwa kadiri ya uwezo wako saana!!!!!!
2 . Pia nashukuru kwa kuwa honest sana kuwa hujui jibu la swali lamsingi!!!!!
3. Suala la msingi kuelewa sio provision ila kwa nini hiyo provision iko hivyo; mimi fani yangu "underlying process/mechanism" ndio muhimu sana kiujua linapokuja suala la explanation as compared to description na sio yatokanayo!!!!!
4. Sasa maswali ya "WHAT" jibu ni muhuri; "HOW" umetoa condition za viapo na mikataba; "WHY" hao na si wengine ndio hujanijibu ili explanation yako itimie mkuu!!!!!
Ila nisiposhukuru so far ntakuwa mtovu wa ustaarabu
Last edited by a moderator: