Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unachokifanya bila shuruti na ukipende.Weledi wako uupende hadi jirani ahamasike nao.NB:Kila weledi una terminologies.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano ipi sifa ambayo ni ya kijinga kwa wanasheria?
Swali rahisi kweli.
Swali rahisi kweli.
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili Msomi Arbert Msando, Mabele Marando Nk. Je, Kuwaclasify Mawakili Wasomi Inamaanisha Kuwa Kuna Mawakili/wanashelia Ambao Sio Wasomi? Kwani Kada Nyingine Za Kitaaluma Kama Dactari, Engeneer Hawajatunukiwa Hizi Mbwebwe Wanazopewa Mawakili/wanashelia?
If you don't mind, can you specifically tell us what is or what are the differences between (being) educated and learned as they relate to the legal profession vis-à-vis other degreed professions?
wanahaki ya kuitwa wasomi maana wao kazi yao pia ni kusoma kila mara kunasheria zinakuwa repealed na revised na pia kuna case mbalimbali zinatolewa hukumu na mambo mengi sana wanahitaji kusoma muda wote ilikuwa current.
toa jibu sio unatoa macho tu mkuu....Swali rahisi kweli.
Madaktari kuna wanaoitwa wataalam, wengine sio wataalam?
Wote wasiona wanasheria ni leymans, na hilo halijawahi kukuuma mtoa mada? Ya ngoswe mwachie ngoswe. If u like it crown it, if u dont........
ninahisi alikuwa anamaanisha laymans.
Sio leymen kweli?
Naona unatamani sana kuwa mwanasheria ila uwezo wa kiakili kama wa n'gombe
Sio kila mwanasheria ana taaluma ya sheria wapo wanasheria wengi tu hawajui kutafsiri sheria