Ukiamua kupeana peana hta kwa kufunga jicho moja,usifunge yote lkini.Ntampa tu bwana akija kunisema huku basi nitavumilia yote
Mchumba unanitafuta eeeh.. Mimi nimeuliza swali na wewe unaniulizaje swali sasa?
Umenifanya nikumbuke lile swali LA Kiswahili "Mswahili ni nani"
😀😀😀 we ruka ruka tuu!Faili langu ulipewa fake. Kwanza hata nikiliwa haiwezi kuwa na hizi ID zinazoonekana niamini Mimi..
Hivyo eeh. Hata Mimi najua kwenda pm sio lazima kutongozana. Kwa mfano unakuta kuna member ghafla humuoni tu unaenda kumjuliA hali au kuna swali unataka kuuliza. Sasa najiuliza hao wanaokanaga hawajawahi hata kwenda kuuliza kitu cha msingi pm?Kumfata mtu PM kwa lengo la mahusiano kwa huu ufeki wa humu ni kama utoto nakupoteza muda tu, ila kama ni mambo ya msingi tofauti na kunjunjana sio mbaya watu tukafahamiana na tukasaidiana ishu kadhaa muhimu japo kuna uhuru utaupoteza katika kuchangia mambo jukwaani.
Hahahahaaa. Umeniconvice na jibu lako mchumba. Inawezekana kweliMchumba kuna style ya kutaka kuonekana " ni wewe tu ninayechat naye PM", au "ni wewe tu niloyeonana naye JF".
Hizi ni common, hata kwenye mahusiano kuna wale wanauliza ushawahi Kuwa na wanaume wangapi? Jibu huwa ni wawili tu.
Hem nifundishe namii ni pajue niwapi huko pm?Hapana mkuu NDo maana nimeuliza ni ufahari au LA..
Yani huamini au nielekeze basiMuone vile
Sasa jamani avatar hio uloweka hlaf mtu akwambia sema brother huko ni kukutusi.Wewe Unasema. Kuna MTU kaja pm Leo sema mrembo.. Kwanza nikacheka. Unamuita MTU mrembo hata humjui ukikuta ni dume mwenzio jer
Kama nimbali hivyo basi mana sina manufaa nako.Panda gari kama unaenda kibaha shuka Kisarawe kwa mbele kidogo utaona njia inayoelekea Wangingombe utakua umefika pm
Kujihami muhimu bwana mi nawaheshimu watu wa humuHahahaahahhaaaa.. Hiyo natania imenichekesha sana