Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Kumfata mtu PM kwa lengo la mahusiano kwa huu ufeki wa humu ni kama utoto nakupoteza muda tu, ila kama ni mambo ya msingi tofauti na kunjunjana sio mbaya watu tukafahamiana na tukasaidiana ishu kadhaa muhimu japo kuna uhuru utaupoteza katika kuchangia mambo jukwaani.
 
Mchumba unanitafuta eeeh.. Mimi nimeuliza swali na wewe unaniulizaje swali sasa?
Umenifanya nikumbuke lile swali LA Kiswahili "Mswahili ni nani"

Mchumba kuna style ya kutaka kuonekana " ni wewe tu ninayechat naye PM", au "ni wewe tu niloyeonana naye JF".

Hizi ni common, hata kwenye mahusiano kuna wale wanauliza ushawahi Kuwa na wanaume wangapi? Jibu huwa ni wawili tu.
 
Kumfata mtu PM kwa lengo la mahusiano kwa huu ufeki wa humu ni kama utoto nakupoteza muda tu, ila kama ni mambo ya msingi tofauti na kunjunjana sio mbaya watu tukafahamiana na tukasaidiana ishu kadhaa muhimu japo kuna uhuru utaupoteza katika kuchangia mambo jukwaani.
Hivyo eeh. Hata Mimi najua kwenda pm sio lazima kutongozana. Kwa mfano unakuta kuna member ghafla humuoni tu unaenda kumjuliA hali au kuna swali unataka kuuliza. Sasa najiuliza hao wanaokanaga hawajawahi hata kwenda kuuliza kitu cha msingi pm?
 
Mchumba kuna style ya kutaka kuonekana " ni wewe tu ninayechat naye PM", au "ni wewe tu niloyeonana naye JF".

Hizi ni common, hata kwenye mahusiano kuna wale wanauliza ushawahi Kuwa na wanaume wangapi? Jibu huwa ni wawili tu.
Hahahahaaa. Umeniconvice na jibu lako mchumba. Inawezekana kweli
 
PM ni kwa ajili ya mambo serious sio mambo ya kisenge eti nakupenda/una chura nzuri sijui nini.
 
Wewe Unasema. Kuna MTU kaja pm Leo sema mrembo.. Kwanza nikacheka. Unamuita MTU mrembo hata humjui ukikuta ni dume mwenzio jer
Sasa jamani avatar hio uloweka hlaf mtu akwambia sema brother huko ni kukutusi.
 
Back
Top Bottom