Wewe Unasema. Kuna MTU kaja pm Leo sema mrembo.. Kwanza nikacheka. Unamuita MTU mrembo hata humjui ukikuta ni dume mwenzio jer
😀😀😀 hapashindikani kitu humuHuku MTU yuko radhi ale ban lakini akupe ushahidi
Mzee unafurahia kupewa papa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujinga tu.... Kwanza kunafaida nyingi sana za kujuana ana kwa ana na mitandao ya kijamii ipo ili watu wajamiiane na ndio kutengeneza udugu.Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Real men don’t kiss and tell...Ntampa tu bwana akija kunisema huku basi nitavumilia yote
Haha..nibaki kua msomaji
Ila naomba Roho mt. Anishukie niwe hata mjuliaji hali za watu uko pm
HahahahKama navyokujulia mimi
Ila tatizo lenu tukiwasalimiaga tu mnatufanyia ukatili sijui mnahisi tunataka tu kuwatongoza? Hapana bana mbona sie hatunaga hizo (natania japo kuna ka ukweli)Hahahah
Haha..wacha nilaleIla tatizo lenu tukiwasalimiaga tu mnatufanyia ukatili sijui mnahisi tunataka tu kuwatongoza? Hapana bana mbona sie hatunaga hizo (natania japo kuna ka ukweli)
Haha..wacha nilale
Haha..nibaki kua msomaji
Ila naomba Roho mt. Anishukie niwe hata mjuliaji hali za watu uko pm
Sio mim mkuu ntakaetunukiwa.[emoji23] [emoji23]Mzee unafurahia kupewa papa