Nyie mnaoshinda Jukwaa lile MNA mengi ya kujiepusha nayo hivyo kuliko kujiweka kwenye risk ya kujulikana bora uendelee kuwa anonymousKujuana na mtu wa JF ina a social setting ni hatari mno....
Hatari ni something very expensive I can not afford!
Mtu ajue tu Wyatt ni internet character aliyepo JF,thats it!No more no less!
Hahaha ukiona hivyo wanaficha mambo madogo hayo sio watu wakuaminikaHivyo eeh. Hata Mimi najua kwenda pm sio lazima kutongozana. Kwa mfano unakuta kuna member ghafla humuoni tu unaenda kumjuliA hali au kuna swali unataka kuuliza. Sasa najiuliza hao wanaokanaga hawajawahi hata kwenda kuuliza kitu cha msingi pm?
Ngoja wanaoendaga PM waje
Siwezi kupinga kwasabu navyoiona michango yako jf upo tofauti nao... lakini hata kama naappreciate mchango wako jukwaani bado haitatokea nitamfuata mtu PmLol.. Sio kweli bwana
Akshante..Keibui
Sijaelewa
Can you speak english please
Eiiish kwahiyo unajitoa leo
Na pm kwangu unakujaga kufanya nn eti
Haha hata sipajui pakoje huko pm kwako
Mshipa akee dada leo unanikana kwahiyo anayoyasema mzigua kumbe kweli kabisa ww wa kusema huijui pm yangu jamani
Haha yaani Shunie umeamua kabisa kunisingizia?
Lini nimeanza kukusingizia mshipa akee dada jamani
Unakutaga si yeye[emoji23][emoji23][emoji23]Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani