Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Kuna siku kidogo niende pm kwa mtoa mada..maana nilimfananisha na Dada mmoja hivi alimpeleka mtoto wake wa kiume hospital flani hivi iko misheni inaitwa consolata.

Nikaonaga haina umuhimu
ww ni mkazi wa hayo maeneo ya kwa bruda?
 

PM ni lango kubwa sana linaloenda kusikojulikana.Ni bahati mbaya sana wengi wanaoenda PM huwa na nia mtongozano ambao hupelekea kujuana live. PM ni uwanja wa kazi kwa vijana wa kazi. wapo wachache walionufaika na PM kwenye mambo mbalimbali yenye tija kwa maisha. Bahati mbaya walioumizwa na PM ni wengi mno ndio maana wengi hawapendi kuonekana wanajihusisha na PM. Wapo walioenda kutafuta fursa ikiashia wao wenyewe kufanywa fursa, wapo walikosa kujiamini tena (utawaona hata kwa michango yao humu JF) kutokana na makosa waliyoyafanya PM.

Mpangilio uliozoeleka ni Jukwaani - PM- Namba za simu - Whatsapp - simu- Kuonana Live- Kublock.
Ushauri wa bure - Dont expose too much popote pale iwe PM , jukwaani,Whatsapp chart hata simu labda uwe umechetuka kwelikweli.
 
Ukiona mtu anasema Mimi sijawah enda pm sijawah onana jua muongo tu, kuna watu kweli hawaonani na watu lakin hawasemi ,wanaonisemesha wizi watupuu
 
tafadhali siji pm ya mtu...madorali sina.. simtafuti mtu kabisa...
 
Kuna mtu pm anaringaa hatarii halafu namjua ni kigagulo hatari
 
Halafu kwanini hukujibu pm yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…