Swali kwa akina dada wa JamiiForums

Swali kwa akina dada wa JamiiForums

Dah...80% ya wanawake wa JF ni wanaume...nimesikia tu[emoji85]
 
tunaview profile mfano Director at..., .... limited , tunaview threads kama unazungumzia Ucha Mungu tumiradi twako n.k[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hilo nalo neno best, sio mtu muda wote anazungumzia mapenzi na kuwaponda wanawake. Mtu kama huyo unamfata inbox ili uongeze matatizo ktk maisha yako au upate nn?
 
Hivi nyie akina dada wa humu Jf mbona mna ubaguzi sana kuliko sisi wanaume?..Nasema hvyo kutokana na tabia yenu ya kujitenga nasi pindi tunapohitaji msaada kutoka kwenu..mfano hai ni katika Threads ambazo mwanaume akiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE'' basi mtu huyu hawezi kupata ushauri wala PM yoyote kutoka kwenu labda iwe ni kutoka kwa wanaume wenzie..Ila nyinyi mkiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIUME'' Basi thread hiyo utakuta ina page 30 na Pm za kutosha...
SWALI LANGU NI HILI:
1.Wanaume tuna kiherehere au tunashoboka na nyinyi hata kama mtu kasema ana miaka 47 ila thread tutaichangia?
2.Jf hakuna wanawake kiasi cha thread kukosa twin page na pm hata ya kizushi?
Mkishindwa kuchangia na hapa basi ile fifty fifty mnaitaka kinafki..

Uliwahi kuandika thread ya kutafuta mchumba wa kike ukapata PM ya dume mkuu?[emoji4]
 
Kuna mmoja alikuja PM akasema anapenda comment zangu akasema eti ooh anatongozwa sana humu JF akawa anatuponda wanaume nikamwabia umekuja kuni enjoy.au kama unatongozwa PM wafuata nin
Wee jamaa hawa viumbe hawajibiwi makavu hatakama umewachoka wahifadhi bhanaa mtoto wa kike akikufata mheshimu atakama humtaki asijue
 
Back
Top Bottom