Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo weweUkiweka bandiko lako la kutafuta mchumba usisahau kunitag nije pm
Mambo mamyMrembo wewe
Mrembo wewe
Poa mwaya za sikuMambo mamy
Salama mamitoPoa mwaya za siku
Nakusubiria upande uleSalama mamito
Ninakupm no mamyNakusubiria upande ule
Hilo nalo neno best, sio mtu muda wote anazungumzia mapenzi na kuwaponda wanawake. Mtu kama huyo unamfata inbox ili uongeze matatizo ktk maisha yako au upate nn?tunaview profile mfano Director at..., .... limited , tunaview threads kama unazungumzia Ucha Mungu tumiradi twako n.k[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hivi nyie akina dada wa humu Jf mbona mna ubaguzi sana kuliko sisi wanaume?..Nasema hvyo kutokana na tabia yenu ya kujitenga nasi pindi tunapohitaji msaada kutoka kwenu..mfano hai ni katika Threads ambazo mwanaume akiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE'' basi mtu huyu hawezi kupata ushauri wala PM yoyote kutoka kwenu labda iwe ni kutoka kwa wanaume wenzie..Ila nyinyi mkiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIUME'' Basi thread hiyo utakuta ina page 30 na Pm za kutosha...
SWALI LANGU NI HILI:
1.Wanaume tuna kiherehere au tunashoboka na nyinyi hata kama mtu kasema ana miaka 47 ila thread tutaichangia?
2.Jf hakuna wanawake kiasi cha thread kukosa twin page na pm hata ya kizushi?
Mkishindwa kuchangia na hapa basi ile fifty fifty mnaitaka kinafki..
Na sasa hivi tutaanza kuweka screenshot zenu za pm kabisa!Tunaogopa mtakuja kutusema tumewafata pm
Mnaenda kusagana???[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakusubiria upande ule
Acha mawazo mbofuMnaenda kusagana???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Wee jamaa hawa viumbe hawajibiwi makavu hatakama umewachoka wahifadhi bhanaa mtoto wa kike akikufata mheshimu atakama humtaki asijueKuna mmoja alikuja PM akasema anapenda comment zangu akasema eti ooh anatongozwa sana humu JF akawa anatuponda wanaume nikamwabia umekuja kuni enjoy.au kama unatongozwa PM wafuata nin
Tatizo ni kama anani enjoy vile yaniWee jamaa hawa viumbe hawajibiwi makavu hatakama umewachoka wahifadhi bhanaa mtoto wa kike akikufata mheshimu atakama humtaki asijue
Hapana bhana ni gia tu alitumia kukuingia ungempa pole tu na kujifanya wee sio wa hivyo baasi ungeona muendelezo wakeTatizo ni kama anani enjoy vile yani
He,heh...Na sasa hivi tutaanza kuweka screenshot zenu za pm kabisa!