Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,404
Reaction score
4,973
Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check.

Swali langu kwa wadau wa afya hasa baraza la madaktari na wizara ya afya ni:
How scientific are the recent anal examinations purpoting to check homosexuality?

Nimesoma kibali cha mahakama nimeona sehemu kuna kuchukua "specimen", ninavyofaham kama layman hiyo inainvonlve kupima sampuli (damu, mkojo, haja kubwa, kipande cha nyama etc).

Nime-google sana nimeshindwa kupata hiyo sayansi ambayo mtu anakaguliwa na madaktari kuprove kama ni shoga, naomba tuelimishane kipimo hiki huwa kinakuwaje? Vitu gani vinaangaliwa? How conclusive it is etc.
 
Wajuzi mkujee hukuu kutupa majibu ya uhakikaa.
 
Wanapima anal sphincter competence, mikwaruzo kwenye anal region na wanachukua sample ya anal swab kuangalia km umeingiliwa kuna sperm na DNA remains za aliyekuingilia
 
Back
Top Bottom