jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Huoni ukisubiri mpaka bodi ya mkopo itoe majina ndo ukajisajili,posibility ya kukosa hostel ipoo sababu kila mtu anawahi hostel
Sasa utafanyaje wakati pesa huna.
Wenye wasiwasi ni watu waliochaguliwa vyuo vya private coz vingi vinafungua mwezi wa 9 lakini sisi wa gvnt chuo mwezi wa 10 hatuna wasiwasi coz watakuwa wameshatoa mikopo
oil sumu acha kujishaua
ukwel mtupu
jamani acheni utani hili jambo litawaumiza sana watu wengi wanaofungua vyuo mwezi wa 9...
loan watatoa soon
Nimesikia next week wanatoa..(source waziri wa mikopo ARU)