jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Ikiwa baadhi ya vyuo wanawahi kufungua vyuo kabla hamjawasilisha mikopo ama dhamana za kuwalipia walengwa na ikiwa baadhi ya vyuo hawakusajili mpaka uwe umelipa ada yao,na ikiwa lengo la bodi ni kuwasaidia wale ambao hawana uwezo wa kujisomesha wenyewe,je bodi ina mpango gani kwa hili,ama ni njia gani zitamsaidia kijana huyu ambae wazazi wake wanaishi chini ya dola moja kwa siku?