Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

Zito hakufukuzwa CHADEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa jinsi ulivyotoa mifano mizuri
Ubarikiwe mtawa POHAMBA
Nimependa kauli ya mwisho
*kwenye siasa kila kitu kinawezekana*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wamehukumiwa kwa kufuata kanuni na taratibu za chama wengine nyie ni wapayukaji tu, shut up your mouth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakina nyerere walipambana kumtoa mkoloni Leo kaingia mkoloni mweusi ndani ya ccm watajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wamehukumiwa kwa kufuata kanuni na taratibu za chama wengine nyie ni wapayukaji tu, shut up your mouth

Sent using Jamii Forums mobile app
Shut up your mouth? Hebu ona, Kiingereza hujui kwa nini usiongee kiswahili? Unajionyesha wazi ni wale wapiga kelele wa CCM ambao hata shule hamjaenda, waropokaji tu bila lojiki, bendera kufuata upepo!
 
Nimependa jinsi ulivyotoa mifano mizuri
Ubarikiwe mtawa POHAMBA
Nimependa kauli ya mwisho
*kwenye siasa kila kitu kinawezekana*

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana kilicho na lojiki. Lakini kila kitu kikiwezekana hata vya kijinga hiyo ni SH country. Tanzania ndio tumefikia hapo?
 
Harafu kuna ngedere wanakudja hapa na kusemaga "upinzani hakunaaga demoklasia" wanaongeaga kama vile wako wamebanwaa ba hadja kubwaaa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
2014 Membe alirimamishwa asifanye siasa kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa kosa ni kuanza kampeni za urais kabla ya muda na mwenyekiti wa kikao hicho alikuwa Mh Jakaya Kikwete.
Hapa jk hakuwa na maslahi binafsi maana hakutarajia kuwa mgombea 2015
 
Jasiri haachi asili.

Wapinzani wa Magufuli kisiasa tangu akiwa mbunge wa Chato, iwe ndani ya chama chake au nje ya chama chake huwa wanaishia pabaya sana. Anachowafanyia anakijua mwenyewe na muumba wake.
 
Jasiri haachi asili.

Wapinzani wa Magufuli kisiasa tangu akiwa mbunge wa Chato, iwe ndani ya chama chake au nje ya chama chake huwa wanaishia pabaya sana. Anachowafanyia anakijua mwenyewe na muumba wake.
Hizo ni silka za atu wenye katabia ka kidikteta
 
Wapinzani wa ndani na nje ya ccm mwafaaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Nakushauri uorodheshe sifa za kiongozi dikteta halafu uweke check box, halafu mpe mtu mwenye busara am rate Magufuli

Kwa kukumbusha tu, dalili mojawapo ya kiongozi dikteta ni kujifanya ana uzalendo sana na nchi ili kuhalalisha kuua wapinzani wake - Mfano, Hitler, Idd Amin, Bokassa, nk
 
Benito Mussolini RIP
Botha
Muammar Gaddafi RIP
Paul Kagame
Mobutu Seseseko RIP
Robert Mugabe - RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…